WhatsApp imeanza kuweka mfumo wa Channels

Sahihi, waingiaji wengi ni wa wasap, hata mtu wa kijijini anaijua vizuri kuliko telegram.
 
Telegram haina watu wengi sana kama wasap, wasap inatembelewa mno na inajulikana kwa wengi hata wale wasiojua kutumia mitandao.
 
Kwa hyo wale wamama kwenye yale magroup wanajielewa?
 
Wameshindwaje kuweka option ya kuedit post? Wanazidiwa na JF!!
 
Mada inahusu WhatsApp, punguza ujuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…