avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Li mtandao la siku nyingi ila hovyo Sana. Telegram imekuja nyumba yake ila Ina features nzuri Sana. Telegram ukikosea post unaweza ku eddit lakini Whatsapp huwezi. Gifs za telegram ni za ukweli lakini Whatsapp za hovyo zinaonekana vipande. Sijui watanzania tumekariri nini kuhusu Whatsapp Kila kundi la kijamii utasikia kundi la Whatsapp. Whatsapp Haina hata saved massages sehemu ambayo unaweza kukitumia au kutunza Taarifa zako binafsi Leo ndio wanaiga channels za mrusi?