WhatsApp imeanza kuweka mfumo wa Channels

Li mtandao la siku nyingi ila hovyo Sana. Telegram imekuja nyumba yake ila Ina features nzuri Sana. Telegram ukikosea post unaweza ku eddit lakini Whatsapp huwezi. Gifs za telegram ni za ukweli lakini Whatsapp za hovyo zinaonekana vipande. Sijui watanzania tumekariri nini kuhusu Whatsapp Kila kundi la kijamii utasikia kundi la Whatsapp. Whatsapp Haina hata saved massages sehemu ambayo unaweza kukitumia au kutunza Taarifa zako binafsi Leo ndio wanaiga channels za mrusi?
 
Unaweza kuedit msg whatsapp toka huko vichochoroni ulipo updates zitakufikia. 5B WhatsApp, 1B Telegram downloads. Numbers speak for themselves. Kama watanzania wanafika 5B haya.

Whatsapp inawafaa wenye akili ndogo, Telegram inawafaa wenye akili kubwa (Intelligence-based people) nina mwaka wa tano sasa whatsapp naisikia kwenye mabomba yao tu situmii upuuzi.
 
Marekan wanajua biashara sana unafikiri walishindwa kuziweka tangia mwanzoni? Hawakushindwa lakin unaweka kila kitu kwa wakati mmoja utakuwa na jipya gan uko mbeleni saiv wanafanya update wasap inazidi kuwa maarufu lakin jiulize telegram mbona sio mmarufu licha ya uwepo wa ivo vyote

Marketing braza.
 
Unaweza kuedit msg whatsapp toka huko vichochoroni ulipo updates zitakufikia. 5B WhatsApp, 1B Telegram downloads. Numbers speak for themselves. Kama watanzania wanafika 5B haya.

View attachment 2651531
Sasa edit nayo unapewa LIMIT huko Whatsapp, Telegram si tu unaweza kuedit messo muda wowote ila unaweza kuifuta kabisa hadi kwa uliyemtumia kama bado hajaifungua na ukatuma upya... Telegram ina features mingiiii sana za kipekee
 
Nobody denies that ila sio Kila mtu anahitaji hizo features na kuwa na features nyingi ni kazi bure kama users wachache. 5B vs 1B downloads numbers speak for themselves.
 
Nani kasema Telegram sio maarufu?

Telegram sio maarufu labda kwa upande wako ila kwa upande wa kidunia ni maarufu sana.
 
Hakuna cha marketing strategy hapo, kuingiza hizo features ni swala la kiutaalam zaidi so inategemea una watu gani ktk kitengo, pia SERA za kampuni/Mtandao zinasemaje? Ndio maana Google kila siku wanabadiri sera za matumizi ya Huduma zao hasa upande wa Youtube au huwa husomi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…