Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Mimi nimeupdate toka kitambo sana inakaribia wiki ya tatu sasa naona channels..Nineupdate leo nimeziona nyingi balaaa
Yes ,mpangilio wa status mbovu ,kutaka kuview status kiwizi ni nidhamu ya uoga sana na ni pigo za kishamba.Ule unyama wa kuview status bila aliyepost kujua kama umeview wameuondoa na mpangilio wa status sio mzuri bora ule mwanzo
Wamezingua sanaYes ,mpangilio wa status mbovu ,kutaka kuview status kiwizi ni nidhamu ya uoga sana na ni pigo za kishamba.
Naunga mkono hoja 👍👏Wale chawa wa "yunaitedi steti ofu amerika" wanaiongelea telegram kwa makasiriko sana sababu tu ilianzisha na warusi.
View attachment 2655686
Kama ndo unawasearch hao utauona hivyo huo mtandao lakini telegram ni lidunia liko na each product u want iyo kila unachokitafuta kimo . Kama malaya wapo, service nyingine zipo alafu ni Dunia nzimaYaan telegram imekuwa Mtandao wa Mashoga na Wauni