WhatsApp Imeiga tena kutoka Tiktok & Instagram : Hili Litakushangaza ….

WhatsApp Imeiga tena kutoka Tiktok & Instagram : Hili Litakushangaza ….

Barakha John

Member
Joined
Sep 24, 2024
Posts
49
Reaction score
163
#mwanakidigitali hii utaipenda …

WhatsApp wamefanya mabadiliko makubwa kwenye Ststus zake na sasa unaweza kuweka muziki wowote unaotaka unapo post picha kupitia WhatsApp status 📌
Ona hatujasalimiana hata 😆

Mambo ni vipi #mwanakidigitali …. Najua swaumu itakuwa kali poleni kwa mfungo kwa wewe muislam na wewe mkristo unayefunga Kwaresma .

Majuma kadhaa nilitoa taarifa hii kuhusu WhatsApp kupitia mitandao yetu ya kijamii instagram, Facebook na Tiktok @simukidigitali … kuingia ubia na baadhi ya makampuni ya usambazaji wa muziki ili kurahisisha jambo la muziki kupitia Status.

Hivi karibuni kupitia masahihisho mapya sasa WhatsApp ni kama tiktok na Instagram tu , ambapo ukiwa unapost picha au video yako kupitia WhatsApp status unaweza kuchagua muziki wowote inayopatikana online na kuambatanisha na ikawa inacheza sauti na picha / video yako kitu ambacho watumiaji wengi wa WhatsApp walikuwa wanatamani toka zamani.

Unawekaje?? ….
Hatua ni zile zile ingia kama unaweka status mpya kisha ukitazama juu utaona alama ya MUZIKI bhasi bofya hapo kisha utachagua nyimbo yeyote unayo itaka .

Kama bado hujapata huduma hii fanya masahihisho ya program yako (updates) kisha utaona hii kwenye simu yako .

Je , hii ni kwa WhatsApp aina zote ?

Natambua kuna watu wanatumia WhatsApp business , mabadiliko haya ni kwa wale wa WhatsApp za kawaida tu sio Business WhatsApp…. Wale watumiaji wa Business WhatsApp Business updates hii inakuja taratibu ambapo kuna baadhi ya simu unaweza kuweka na bado haina uwanja mpana wa nyimbo kama ile ya kawaida Pengine tuendelee kusubiri kidogo.
Umefurahia taarifa hii?

Mimi naitwa Mkisi , ndie incharge hapa SIMU KIDIGITALI sisi ni mabingwa wa kuuza simu & Laptop used na Mpya jumla na Reja Reja na iwapo utahitaji ya special order tunakuagizia moja kwa moja kutoka Dubai.

NB. Tunauza ORIGINAL GRADE 1 tu 📌
FOR DIGITAL AND SMART BUSINESS ✌️​
 
Mimi naitwa Mkisi , ndie incharge hapa SIMU KIDIGITALI sisi ni mabingwa wa kuuza simu & Laptop used na Mpya jumla na Reja Reja na iwapo utahitaji ya special order tunakuagizia moja kwa moja kutoka Dubai.

NB. Tunauza ORIGINAL GRADE 1 tu 📌
FOR DIGITAL AND SMART BUSINESS ✌️
Umeleta tangazo lako umeenda kulala
 
Back
Top Bottom