WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
ca9e5c14ed2e40810ae5fc28ae088291.png

WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts.

Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote.

Mabadiliko mapya ya WhatsApp yatawezesha watu kuzuia baadhi ya contacts zisionekane kwa baadhi ya contacts.
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
 
Safi sana
Ni safi ili kupanua wigo wa privacy,, impact yake ni kutengeneza dunia ya wasio ogopa kudanganya''

Nawaza ikiwa watu wa ulaya walijua kuwa kumpendelea sana mwanamke kungesababisha birthrate kushuka kwasababu ya wanaume wengi kuogopa ndoa ,na wengi kuwa ma trangender.

Tunatakiwa kuwaza vema kuhusu matokeo ya baadae kutokana na maamuzi yetu ya sasa. Tukiegemea kujinufaisha kisiasa peke yake tunakuwa tunatenda dhambi kubwa sana.
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Upo sahihi mkuu.
Hii ni room ya watu waongo.
Hii program inaenda kuwezesha watu waongo na hivyo kuinfluence wengine kuona kuwa kudanganya ni poa tu.

Tutaenjoy lakini itaongeza kiwango cha uongo(udanganyifu duniani)
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Mimi nime hide hyo kitu na Niko makini sana tu na sio kwa Nia mbaya ni uamuzi tu
 
Back
Top Bottom