WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

View attachment 2019065WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts.

Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote.

Mabadiliko mapya ya WhatsApp yatawezesha watu kuzuia baadhi ya contacts zisionekane kwa baadhi ya contacts.
Mbona hua kuna hiyo option ya kufunga usionekane last seen yako japo na wewe hutaona ya wengine
 
Unahisi ni tapeli wa kitu fulani
Hii aina tofauti na kule instagram kuficha comment section!

Ni feature ambayo matapeli wengi wana capitalize nayo, ukiona muuza bidhaa au mfanyabiashara anafungia comment section ujue kabisa kuna zile bad reviews hataki zionekane na wateja wapya. Namna pekee ni kuzima comment ili uingie kichwa kichwa upasuke😂
 
Muda mwingine hizo husaidia maana Mtu unaweka mfano Tangazo unaanza kupokea dhambulizi la negative comments.
 
Sure ,ogopa sana mfanyabiashara anayeficha last seen na read receipt na pia anayehide comment kwenye insta!! Yaani hapo akili kumkichwa ukilemaa unaachwa ferry.
 
Muda mwingine hizo husaidia maana Mtu unaweka mfano Tangazo unaanza kupokea dhambulizi la negative comments.

kama unauza bidhaa nzuri na huduma nzuri negative comment zinaweza zisiwepo au zikawa chache sana ,wengi watacomments vizuri hivyo rating ya seller inakuwa nzuri,ukidisable means unaogopa watu watakisanua hivyo hautapata watu wa kuwapiga.
 
Wanaboresha ili iwe kwa baadhi ya watu tu, kuna watu ni viherehere unakuta anakufatilia hata saa 8 za usiku huko! Eti nimekuona online saa 8 usiku ila sms yangu hujaijibu!
Na hii ndio sababu nilitoa kipindi cha ma stress nilikuwa sipati usingizi Niko online watu wanakuuliza usiku huwa unafanya nini badala ya ku mind business zao, huu mwaka wa saba nime hide, tofauti na watu wanawaza eti ku hide ni utapeli
 
Tunarudi kule kule ,hivi kuna mtu ambaye tofauti na mpenzi akuulize mbona upo online usiku wote? Je wakati anakuuliza mbona upo online yeye je alikuwa offline? Kwani wamezuia mtu kuwa online? Mbona simu zipo online 24/7 na wala hawaulizi mbona haujazima simu? Maswali kama hayo mara nyingi yanatoka kwa wapenzi ,kama marafiki wa kawaida akikuuliza mbona huko online muda huu haina shida yeyote kumjibu...Ila kwa mpenzi ndiyo shida inapokuja sasa ili ku avoid hayo ndipo hide/read zinapofichwa ,ila nawashauri whatsapp waongeze features za kuhide online na dobule tick....wakifanya hviyo wanamaliza mchezo.
 
Hao hawakuwa hata wapenzi wangu kabisa, hafu hujui watu wanavofatilia mambo ya watu. So why ufatilie mambo yangu mie ninayependa mambo yangu kwa Siri na ni utashi wangu.
Kwahyo toeni hyo wrong assumptions kuwa kuhide status ni uhuni au utapeli kitu ambacho si kweli kabisa heshimuni maamuzi ya wengine na msihusishe na tabia mbovu bana.
Ndio Yale Yale mtu alipost motivation quote kaachika, akipost vichekesho hayuko serious
 
Kwahiyo unataka kuniambia wasio kuwa na whatsapp hawafuatiliwi maisha yao? Mtu akiamua kukufuatilia maisha hawezi kusubiri uweke last seen On......Huo ndiyo ukweri % kubwa ni Janja janja.....Watu wanaotaka kuwa na mambo ya siri hawatumii kabisa mitandao ,ukitumia mtandao tu basi kila kitu kipo wazi,kwenye server zao kuna logs zote!!
 
Wanafatilia ila sio kupangiana maisha na kuhukumu wengine Kwa ku hide last seen kuwa kosa la jinai loh.
 
Naweka tu vizuri utanifanyia nini kwa mfano tusisumbiane na kupangiana life simu yangu yakuhusu nini huo mda mchafu katafte hela sio kufatilia mambo binafsi
Ninyi ndo mnagawa mbususu za waume zenu kwa misimamo yenu ya kishamba.

Nimekuoa halafu eti nisijue Nini kinaendelea kwenye maisha yako si ujinga huo!!!
Utaondoka kwangu bila talaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom