WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

Sure, wanaoficha last seen na read receipt % kubwa ni watu wa magumashi ,waongo ,mambo yao hayapo straight.

Kwahiyo anaweka hivyo vitu ili kuweka defence endapo ukimbana atajibu sijaiona message yako ila Whatsapp pia waongeze feature wakiwa online napo wasijuliknae,maana anakwambia hajaiona lakini muda mwingi yupo online.

Naungana na wewe kabisa watu hao ni kukaa nao kimtego mtego mda wowote wanakuliza kama ni biashara.
Kuna fala mmoja nilimuuliza kwa nini unaficha last seen! Umbwa yule akaniambia hataki boss wake ajue pale anapomuitaji! Moyoni nikasema nyooo! Boss my takle! Na vile nilikuwa sijampenda bahili kama nini! Hajui kuongea vizuri, hayuko romantic yaani utafikiri nachat na mjomba wangu, manina nikamuacha sasa hivi amebaki kuniona status na kunisifia nilivyonenepa nyoooo!
 
Kugawa k na kutoa last seen ni vitu viwili tofauti mtu ka ni malaya ni malaya wala sio vile katoa last seen
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kutoa last seen na umalaya/wizi/uongo/utapeli.

Mwanamke yeyote ninaekutana nae akiwa ametoa read receipt na last seen huwa namuweka kundi moja na malaya/tapeli/ mwizi
Why ujifiche kama kweli wewe Ni mwema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna fala mmoja nilimuuliza kwa nini unaficha last seen! Umbwa yule akaniambia hataki boss wake ajue pale anapomuitaji! Moyoni nikasema nyooo! Boss my takle! Na vile nilikuwa sijampenda bahili kama nini! Hajui kuongea vizuri, hayuko romantic yaani utafikiri nachat na mjomba wangu, manina nikamuacha sasa hivi amebaki kuniona status na kunisifia nilivyonenepa nyoooo!
Alichokosea ni kuficha last seen na kumpenda mwanamke Kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Yaani nakereka sana na watu wanaoficha last seen. Shady characters!!
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Aiseee Mimi nafanya biashara Tena hasa za mtandaoni 100% Ila hapa kwenye jambo la last seen limenishinda mtu anakuwa na access ya kuona nimetoka mda gani WhatsApp ili iweje ni sawa na Kama ume enable gps kwenye simu Google map inauwezo wakukuchora mizunguko yako ya Kila siku umetoka wapi unaenda wapi nakuendelea privacy nikitu muhimu Sana tuweni makini sio Kila mtu anatakiwa afahamu nyendo zako
 
Upo sahihi mkuu.
Hii ni room ya watu waongo.
Hii program inaenda kuwezesha watu waongo na hivyo kuinfluence wengine kuona kuwa kudanganya ni poa tu.

Tutaenjoy lakini itaongeza kiwango cha uongo(udanganyifu duniani)
Sijui wengine wanaficha kwa sababu ipi ila GF wangu Ameficha sana last seen ila mpaka the moment tunakutana alikuwa hajaguswa bado and alikuwa ashamaliza chuo.

Sikuwahi kumuuliza kwanini anaficha ila ameshaniprove wrong kwenye suala la kuwa muongo muongo.

Mind you nlishamtrack sana simu yake mpaka baadae nikaona bora tu niache hayo mambo.
 
Privacy matters tu watu wengi wanachukulia personal Ila hata walioweka hapo walikuwa na maana yao
 
Sijawahi ficha last seen! Nikikutana na mwanaume anaficha last seen siangaiki nae akafie mbereeeeeeeee.
my GF anatumia hide last seen ila nmeshamtrack sana sijapata cha maana...

Me nimeacha kuhukumu
 
Nadhani watu wako tofauti,kuna wengine hutaka privacy sana,pia kuna mazoea.
Ni sawa na kukuta mtu mzima anamiliki smartphone lakini hana picha yake hata moja au hana pps za kushare maisha yake kama instagram,snapchat.kuhusu mazoea ni ukizoea apps zisizo onesha last seen au mtu yuko online unaweza pia set hata apps zingine zisioneshe.

Mimi binafsi ninapenda privacy sana hususan maisha yangu binafsi na pia nimezoea wechat (app maarufu China,huwezi mkosa mchina mwenye smartphone bila hii app) hii app haioneshi mtu kama yupo online,last seen ,au kama mtu kasoma text yako.Hii ni kulinda privacy ya wateja wao,so mimi pia hata whatsapp nimetoa last seen,pia hata sijawahi badilisha picha ya whatsapp zaidi ya miaka saba😆Nina cartoon yangu ninayoipends ndio ipo hapo miaka yote,hata about (before status) yangu whatsapp almost 7 years sijawahi ibadilisha.

Kwangu haina uhusiano wowote na utapeli wala chochote,ni vile napenda tu.Mtu kama hataki kusoma text yako au kukureply hata ungeona last seen yake haisaidii.Watu wanatakiwa kuishi maisha wanayoyafurahia na sio kuishi sababu ya kuogopa watu wengine. Wanaoweka last seen on wanafurahia maisha hayo so haitakiwi kuweka pressure kwa watu wasiopenda last seen kuwa on.

Mimi binafsi naamini kila mtu anapenda kuwa vile kulingana na mazoea au sababu zake binafsi lakini sio kila anaye ficha last seen ni tapeli au ana nia mbaya,kuna wasio ficha pia ni matapeli.So bora kuheshimu aina ya maisha ya kila mtu kwa vile alivochagua kuishi bila kuwekeana tuhuma kwa style mtu aliyochagua.
 
Wanafatilia ila sio kupangiana maisha na kuhukumu wengine Kwa ku hide last seen kuwa kosa la jinai loh.

Sio kosa kuhide au kushow ni maamuzi ya mtu na kila mtu ana reason za kufanya hivyo,hapa tunazungumzia % kubwa wanaofanya hivyo ni watu wa magumashi au kuna kitu wanakikimbia kwamfano wewe umesema inasaidia kupunguza watu wanaofatilia maisha ya watu wengine ila kuna wengine wanafanya hivyo kistrategy ya kukimbia lawama eg mbona umesoma meseji haujanibu ,mbona ulikuwa hewani hadi saa nane usiku ulikuwa unaangalia nini na vingine vinavyofanana na hivyo au wengine wanaweka hivyo ili ukimtumia meseji anakujibu sijafungua whatsapp siburi nikifungua nitakujibu kisha ndiyo imtoka hiyo na wewe hauwezi kujua kama kweli kasoma au hajasoma coz kahide read receipt itabidi uwe mpole sasa matapeli au wajanja wajanja wanatumia sana hiyo feature kuteleza.
 
Aiseee Mimi nafanya biashara Tena hasa za mtandaoni 100% Ila hapa kwenye jambo la last seen limenishinda mtu anakuwa na access ya kuona nimetoka mda gani WhatsApp ili iweje ni sawa na Kama ume enable gps kwenye simu Google map inauwezo wakukuchora mizunguko yako ya Kila siku umetoka wapi unaenda wapi nakuendelea privacy nikitu muhimu Sana tuweni makini sio Kila mtu anatakiwa afahamu nyendo zako

Sasa yeye akijua last seen inaathiri vipi biashara yako? Kama meseji ni vyingi siku hizi technolgy ime advance kuna whatsapp web unaweza kuwapa vijana wakajibu maswali ya wateja vizuri tu.

Mimi mfanyabishara aki hide last seen hapo umakini nauongeza mara 100 najua muda wowote napigwa tiktaka...yaani situmi pesa mpaka mzigo niuone mkononi.
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?

Well said mkuu hii pia ni utaratibu wangu sifanyi biashara na pimbi yeyote anayeficha last seen na blue tiki
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
natamani Jf nao waweke sehemu ya dislike ningeku kudislike ,umeandika vizuri lakini kweli hujui Mana ya faragha kweli
 
Back
Top Bottom