WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

Ni safi ili kupanua wigo wa privacy,, impact yake ni kutengeneza dunia ya wasio ogopa kudanganya''

Nawaza ikiwa watu wa ulaya walijua kuwa kumpendelea sana mwanamke kungesababisha birthrate kushuka kwasababu ya wanaume wengi kuogopa ndoa ,na wengi kuwa ma trangender.

Tunatakiwa kuwaza vema kuhusu matokeo ya baadae kutokana na maamuzi yetu ya sasa. Tukiegemea kujinufaisha kisiasa peke yake tunakuwa tunatenda dhambi kubwa sana.
Dhambi ni nini?
 
Sisi wa GbWhatsApp tunacoment wapi
Nyinyi jisomeeni hapa
 
Last seen ndiyo kitu gani, mbona sijawahi kuiona whatsapp? nieleweshe kidogo
 
Sijawahi ficha last seem! Nikikutana na mwanaume anaficha last seen suangaiki nae akafie mbereeeeeeeee.

Sure, wanaoficha last seen na read receipt % kubwa ni watu wa magumashi ,waongo ,mambo yao hayapo straight.

Kwahiyo anaweka hivyo vitu ili kuweka defence endapo ukimbana atajibu sijaiona message yako ila Whatsapp pia waongeze feature wakiwa online napo wasijuliknae,maana anakwambia hajaiona lakini muda mwingi yupo online.

Naungana na wewe kabisa watu hao ni kukaa nao kimtego mtego mda wowote wanakuliza kama ni biashara.
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Naonaga ni kukosa kujiamini. Sijawai ficha last seen, wala hiyo read receipt, nasoma na sikujibu na hunifanyi kitu simu yangu au naingia na sisomi message yako ni simu yangu hakuna pangiana 😀😀😀😀
 
gb whatsapp,hata ukitaka mtu asione kama umeangali status yake,au asione unatype nk.

ila zote ni dalili za ukanjanja.


IMG_3177.jpg
 
Back
Top Bottom