Kuna mwingine hataki tu kuonekanaWatu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Kuna mwingine hataki tu kuonekana
Ni safi ili kupanua wigo wa privacy,, impact yake ni kutengeneza dunia ya wasio ogopa kudanganya''Safi sana
Kabisa Mkuu, hata kama ni Mwanamke akiweka hiyo naona kama sio Mtuliaji hivi!!!!Unahisi ni tapeli wa kitu fulani
Upo sahihi mkuu.Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Mimi nime hide hyo kitu na Niko makini sana tu na sio kwa Nia mbaya ni uamuzi tuWatu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Mimi nime hide hyo kitu na Niko makini sana tu na sio kwa Nia mbaya ni uamuzi tu
Si kweli hyo ni beliefs zako tu sina gumashi lolote ila nimeweka huu mwaka wa sabaHide Last seen/read reciept ni kwa watu wa magumashi.