Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae 👋.
Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye matoleo ya simu ya kizamani.
Ambapo kuanzia Mtumiaji wa Android version 6.0 hiyo simu haitaweza ku support Mfumo Whatsapp ifikapo 8, Septemba 2026.
Whatsapp walianza kuondoa support kwa watumiaji wa Android version 5.0 na 5.1 mwaka mmoja uliyopita.
Whatsapp inawashauri Wahusika kuweza kufanya backup mapema ya data zao na Kuanza kutumia vifaa vyenye uwezo mkubwa ili kuwa salama.
Ebu tuambie simu yako bado itaendelea kupokea update Toka Whatsapp tuachie maoni yako?