Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae πŸ‘‹.

Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye matoleo ya simu ya kizamani.

Ambapo kuanzia Mtumiaji wa Android version 6.0 hiyo simu haitaweza ku support Mfumo Whatsapp ifikapo 8, Septemba 2026.



Whatsapp walianza kuondoa support kwa watumiaji wa Android version 5.0 na 5.1 mwaka mmoja uliyopita.

Whatsapp inawashauri Wahusika kuweza kufanya backup mapema ya data zao na Kuanza kutumia vifaa vyenye uwezo mkubwa ili kuwa salama.

Ebu tuambie simu yako bado itaendelea kupokea update Toka Whatsapp tuachie maoni yako?
 
πŸ“ŒPlanet Data bundles was Here
 
Mimi kama mmiliki wa museum,mwambie huyo jamaa nahitaji kuinunua hiyo simu.

Mimi huwa nashindwq kutunza simu kama ukumbusho, sababu naishi na madogo watundu sana.
Nimewahi kuwa na huu Mzingo 2009-2011. 😁
Huu mzigo ulikuwa mbele ya muda, unafungua PDF files, Podcasts na Excel.
WhatApp yangu ya kwanza, nilifungua kwenye huu mziko kwa APK. 😁
 

Attachments

  • download (2).jpeg
    6.3 KB · Views: 26
Duh
Umenikumbusha mbali
Nilikuwa na Nokia E-series
Niliibiwa
Nilikuwa naipenda
 
Still using note 20 ultra
Android version 13 naona
Tunabaki

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…