Huawei unawaona wa kishamba kisa umekaririshwa? Katafute Pura x max au

Pura 90 Pro Max​

utoe kutu walizo ziweka Samsung na apple kichwani

Hii inaitwa "branding sabotaging" ... Huawei wana bidhaa zao kali pia. Mchina waga hakubali kushindwa kizembe.
 
Mwenye mawasiliano na ngolo kante anisaidie kumfikishia taarifa huko uarabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…