Whatsapp mpya na faida zake

Whatsapp mpya na faida zake

Mbona hayo maujanja yapo GB whatsap tangu kitambo sana.
 
Kwani zamani zilikua hazifutiki???
Zilikua zinafutika kwako tu ukifuta kwake anabaki mazo,,sa ivi hata yy haoni msg

,,hata kwenye GRP unafuta na wote hawaoni km ulikosea kupost,,ila ni within 7 minutes tu ukichelewa haifutiki
 
Kwa sie tunaitumia whatsapp mbadala..hii option ipo ktambo tu..na haiitaj dakika 7 ..mda wwte unaweza kudelete chats mpk media ulzotuma
 
Back
Top Bottom