Whatsapp mpya na faida zake

Whatsapp mpya na faida zake

Hii inanikumbusha enzi za chuo wadada wamevua sana sketi kisa kunasuka n sup
 
Wakuu mmeshindaje? Baada ya kutoka ile safari ya Dar sasa nmerudi mkoani arusha.....leo nikajisikia nimtongoze Marketing officer wetu hapa maana nimesikia yupo single kama miezi miwili baada ya kutendwa na boyfriend wake, nmetumia advantage kuwa huwa ananisifia sana mara nyingi ingawa nahisi sifa zake sio kweli maana anayosema na mimi sina kihivyo nadhani ananipenda.....wakuu kiukweli leo nimeamua kumtongoza rasmi ila majibu yake yananifurahisha na nashukuru whatsapp mpya haitaacha ushahidi kama akinikataa
23c99181c4652810b2432166f2b3dbf4.jpg

Na hapo nimemzidi vyeo vitatu mbele....
Tumefahamu na wewe ni bosi!
 
Fungua zipu uwezavyo ila kumbuka tu kawimbo kaki-Kristo kinaimbwaga wakati watu wakiwa na huzuni tu japo ni kawimbo ka-Mungu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Naona umeingiza U-Dr shika ndo maana mtt anacheka to hata kwenye sentensi ambazo aziitaji acheke Mfano apo alipo kwambia ww ni boss wake hakutakiwa acheke

Game plan yako imefanikiwa

Kula huo-mzigo mkuu
 
Wakuu mmeshindaje? Baada ya kutoka ile safari ya Dar sasa nmerudi mkoani arusha.....leo nikajisikia nimtongoze Marketing officer wetu hapa maana nimesikia yupo single kama miezi miwili baada ya kutendwa na boyfriend wake, nmetumia advantage kuwa huwa ananisifia sana mara nyingi ingawa nahisi sifa zake sio kweli maana anayosema na mimi sina kihivyo nadhani ananipenda.....wakuu kiukweli leo nimeamua kumtongoza rasmi ila majibu yake yananifurahisha na nashukuru whatsapp mpya haitaacha ushahidi kama akinikataa
23c99181c4652810b2432166f2b3dbf4.jpg

Na hapo nimemzidi vyeo vitatu mbele....
Tena yuko online.... C vzr kumuanika bhanaa
 
Back
Top Bottom