supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
- Thread starter
- #21
Kwani umeona namba yake...sitakaa nimdhalilishe hata siku mojasio vizuri kuanika private za dada wa watu mtandaoni wakati zako umefuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umeona namba yake...sitakaa nimdhalilishe hata siku mojasio vizuri kuanika private za dada wa watu mtandaoni wakati zako umefuta
Hapana.Kwa hiyo unataka nipige pull au?
Tumefahamu na wewe ni bosi!Wakuu mmeshindaje? Baada ya kutoka ile safari ya Dar sasa nmerudi mkoani arusha.....leo nikajisikia nimtongoze Marketing officer wetu hapa maana nimesikia yupo single kama miezi miwili baada ya kutendwa na boyfriend wake, nmetumia advantage kuwa huwa ananisifia sana mara nyingi ingawa nahisi sifa zake sio kweli maana anayosema na mimi sina kihivyo nadhani ananipenda.....wakuu kiukweli leo nimeamua kumtongoza rasmi ila majibu yake yananifurahisha na nashukuru whatsapp mpya haitaacha ushahidi kama akinikataa![]()
Na hapo nimemzidi vyeo vitatu mbele....
Wewe ni mwanaume mwenzangu, usiwe na wivu kihivyo....unaweza pia kuwa boss...na boss sio lazma uwe boss wa BOT au TRA hata boss wa chips choma unatosha tuTumefahamu na wewe ni bosi!
Amefanikiwa kufuta sms za mtongozo Wasapu, kwaiyo anaishukuru Wasapu mpya kwa kufanikisha hilo. Sijui umeanza kumwelewa mleta mada.Sijaelewa kitu kwa kweli
Hii kiboko mkuuKuna feature nyingine mpya ya whatsapp ukidelete chat kuna option ya kudelete na media zote alizokutumia na kwenye gallery zinadisapear
![]()
Tena yuko online.... C vzr kumuanika bhanaaWakuu mmeshindaje? Baada ya kutoka ile safari ya Dar sasa nmerudi mkoani arusha.....leo nikajisikia nimtongoze Marketing officer wetu hapa maana nimesikia yupo single kama miezi miwili baada ya kutendwa na boyfriend wake, nmetumia advantage kuwa huwa ananisifia sana mara nyingi ingawa nahisi sifa zake sio kweli maana anayosema na mimi sina kihivyo nadhani ananipenda.....wakuu kiukweli leo nimeamua kumtongoza rasmi ila majibu yake yananifurahisha na nashukuru whatsapp mpya haitaacha ushahidi kama akinikataa![]()
Na hapo nimemzidi vyeo vitatu mbele....
Huyo mdada unamjua?sio vizuri kuanika private za dada wa watu mtandaoni wakati zako umefuta
Kwani zamani zilikua hazifutiki???Amefanikiwa kufuta sms za mtongozo Wasapu, kwaiyo anaishukuru Wasapu mpya kwa kufanikisha hilo. Sijui umeanza kumwelewa mleta mada.