I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Kuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are ignored, so na ww delete number kabisa. Usi entertain such behaviourKuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi?
View attachment 3073253
Ukishakuwa na muda wa ku notice vitu kama hivi, wewe umepoteza ushawishi tayari katika power balance.Kuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi?
View attachment 3073253
Safi!Dunia ya sasa hivi imekaa kibiashara sana make sure you have something to bring on the table , like ideas ,money deals , and other positivity stuffs.
Ukafanya hivyo utapunguza idadi ya blue tiki
Binafsi huwa nakuwa na small circle ya watu wakuwasiliana nao pia vilevile huwa nawasiliana na watu wapya
Siwezi kushindwa kujibu ujumbe wa MTU maana I don't do business but I'm a business.
Pia Mimi nikituma kwa MTU zikatokea blue tiki without any respond nachukulia kawaida maana kuna WATU huwa hawafanyi biashara na hawaitaji kuongeza network ya watu wapya hao Mara nyingi Ana we za kusoma ujumbe na akakaa kimya.
Tusichulie mambo personal hijalishi yanatupa faida au hasara.
Na hiyo hiyo tech imewezesha turn off read receipts kwa sie tusiopenda lawama za nimetuma sms mbona hujibu, EishhhhyyEnzi zetu sisi tulikua tunaamini barua imefika, hata kama tulikua hatujibiwi.
Technology imewavusha vijana, ebu mengine mjiongeze sasa..☹️
Vipi kuhusu wale message received yani tiki mbili ila haisomi na yupo online? unamchukuliaje mtu wa hivyo.Inategemea sana.
Kuna mahali mazungumzo yakifikia hayawezi kuendelea, zaidi ni kuambiana yale maneno mafupi kama 'haya', 'sawa', 'haina shida'
Hapo ni lazima mmoja atamuacha mwenzake
blue tick zinasumbua sana kwenye mapenzi huko
au kama una ugomvi na mtu labda,
Umetoka segerea 😂😂Inategemea sana.
Kuna mahali mazungumzo yakifikia hayawezi kuendelea, zaidi ni kuambiana yale maneno mafupi kama 'haya', 'sawa', 'haina shida'
Hapo ni lazima mmoja atamuacha mwenzake
blue tick zinasumbua sana kwenye mapenzi huko
au kama una ugomvi na mtu labda,
Kazima read receipts huyo, huwezi jua kasoma au laVipi kuhusu wale message received yani tiki mbili ila haisomi na yupo online? unamchukuliaje mtu wa hivyo.