Winnie Winnie
Senior Member
- Aug 23, 2024
- 132
- 293
Hiyo ni dharau mtu akikudharau na wewe mdharau usimnyenyekee watu kama hao dawa yao ni hiyo mimi sipendi ujinga kabisa nafuta na namba siku akipata shida akinitafuta nakuwa simjui anashangaaKuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi?
View attachment 3073253