WHATSAPP TEXTS: Huwa unachukulia vipi ile situation ya mtu anaku-blue tick alafu hajibu wala kureact chochote?

Dunia ya sasa hivi imekaa kibiashara sana make sure you have something to bring on the table , like ideas ,money deals , and other positivity stuffs.

Ukafanya hivyo utapunguza idadi ya blue tiki

Binafsi huwa nakuwa na small circle ya watu wakuwasiliana nao pia vilevile huwa nawasiliana na watu wapya

Siwezi kushindwa kujibu ujumbe wa MTU maana I don't do business but I'm a business.

Pia Mimi nikituma kwa MTU zikatokea blue tiki without any respond nachukulia kawaida maana kuna WATU huwa hawafanyi biashara na hawaitaji kuongeza network ya watu wapya hao Mara nyingi Ana we za kusoma ujumbe na akakaa kimya.


Tusichulie mambo personal hijalishi yanatupa faida au hasara.
 
Kuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi?

View attachment 3073253
Ukishakuwa na muda wa ku notice vitu kama hivi, wewe umepoteza ushawishi tayari katika power balance.

Uki notice hivyo baada ya masaa 48 unachotakiwa kufanya ni kufuta hiyo message halafu usimsumbue huyo mtu tena.

Kutokukujibu nalo ni jibu pia, jibu kwamba hataki kukujibu, kakupuuza au kakusahau mazima.
 
Safi!
 
I donk care mzee nipo na mambo mengi coz hata mimi sometimes hua na view na sijibu so hata kama mtu akiview yangu na kuto kujibu kwangu poa tu simu yangu, bando langu, umeme wangu kwanini nimuwazie mwingine
 
Inategemea sana.

Kuna mahali mazungumzo yakifikia hayawezi kuendelea, zaidi ni kuambiana yale maneno mafupi kama 'haya', 'sawa', 'haina shida'

Hapo ni lazima mmoja atamuacha mwenzake

blue tick zinasumbua sana kwenye mapenzi huko

au kama una ugomvi na mtu labda,
 
Watu mnapenda kujiumiza kwa vitu vya kijinga, km hutaki si u turn off read receipts mbona easy tu.!! Kwann uishi maisha y’a wasiwasi??
Umia km ni deal’s za pesa, lakini issue za mapenzi sijui mizinga.com hiyo potezea utakufa mapema…!! 😂😂😂
 
Vipi kuhusu wale message received yani tiki mbili ila haisomi na yupo online? unamchukuliaje mtu wa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…