W Winnie Winnie Senior Member Joined Aug 23, 2024 Posts 132 Reaction score 293 Aug 24, 2024 #81 I am Groot said: Kuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi? View attachment 3073253 Click to expand... Hiyo ni dharau mtu akikudharau na wewe mdharau usimnyenyekee watu kama hao dawa yao ni hiyo mimi sipendi ujinga kabisa nafuta na namba siku akipata shida akinitafuta nakuwa simjui anashangaa
I am Groot said: Kuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi? View attachment 3073253 Click to expand... Hiyo ni dharau mtu akikudharau na wewe mdharau usimnyenyekee watu kama hao dawa yao ni hiyo mimi sipendi ujinga kabisa nafuta na namba siku akipata shida akinitafuta nakuwa simjui anashangaa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 24, 2024 #82 Poleni sana... Cc: Mahondaw