Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
- Thread starter
- #21
Ninavyo waona wanaweza kushindwa kwenda na kasi hii harafu tuachwe maana lengo lao ni kuzidi kuziongoza hizi kampuni za mitandao ili wavune hela mingi.BOT isipojitahidi kupanda basi liendalo kasi la hizi online payment dunia itatuacha, tukija shtuka tupo kama kisiwa.