Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
Ndio
Oppo gani A57 au 83
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio
Unatumia Iphone ipi?Nunua simu achana na mauchafu ya Oppo
Mkuu Hii ilinikuta japokuwa nilikua natumia Whatsaap genuine kutoka playstore. Nilichogundua ni kuwa simu niliyokua natumia ilikua hacked na hivyo kuna watu walikua wanaweza kushare code za kuhamisha watsapp kwenda kwenye simu nyingine na baada ya hapo wanaitumia account yangu kushare spams. Nilirudi kwa muuzaji wa simu nikakuta batch yote ya zile simu (Ilikua Oppo) ziko hacked na zinauwezo wakushare hadi sms zinazoingia kwenye simu ni kibaya zaidi hizo namba inazotuma ni za Hapa Bongo. Ushauri wa mwisho Badilisha Simu lasivyo utakua parmanent Banned kitu ambacho itachukua nguvu kubwa kuja kuirudisha account yako mimi ili nichukua mwezi mzima pamoja na heated exchange kutoka kwa watu wa watsapp support.Habari
Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaadaView attachment 2989250
2Unatumia Iphone ipi?
Iphone ni issue KumbeUnatumia Iphone ipi?
Wameikariri IP Address ya hiyo simu.Habari,
Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaada.
Ipo namna ya kusolve hilo tatizo, bila kubadili simu.A57
A5
Kwahiyo akuna namna ya kufix mpka ninunue simu Mpya?
Acha kuunga watu kwenye magroup acha ku forward sms nyingi download WhatsApp officialHabari,
Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaada.
Ipo namna ya kusolve hilo tatizo, bila kubadili simu.
Inatumia WhatsApp ipi ya meta au ?Hata mimi simu yangu inatatizo kama hilo kama mwezi hivi na hivi sasa wameifunga mojakwamoja
Walivyofungia GB zetu. Sina rahaHabari,
Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaada.
Whatsapp business ni official pia, isipokuwa imetengenezwa hasa kwa ajili ya wafanyabiashara hapo yoyote anaweza kutumiaInstall whattsapp original version achana na hizo Gb au business.
SawaHaiwezekani
Ndyo ila nimekuja gundua oppo siyo simuInatumia WhatsApp ipi ya meta au ?