WhatsApp wamekuwaje?

WhatsApp wamekuwaje?

Habari
Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaadaView attachment 2989250
Mkuu Hii ilinikuta japokuwa nilikua natumia Whatsaap genuine kutoka playstore. Nilichogundua ni kuwa simu niliyokua natumia ilikua hacked na hivyo kuna watu walikua wanaweza kushare code za kuhamisha watsapp kwenda kwenye simu nyingine na baada ya hapo wanaitumia account yangu kushare spams. Nilirudi kwa muuzaji wa simu nikakuta batch yote ya zile simu (Ilikua Oppo) ziko hacked na zinauwezo wakushare hadi sms zinazoingia kwenye simu ni kibaya zaidi hizo namba inazotuma ni za Hapa Bongo. Ushauri wa mwisho Badilisha Simu lasivyo utakua parmanent Banned kitu ambacho itachukua nguvu kubwa kuja kuirudisha account yako mimi ili nichukua mwezi mzima pamoja na heated exchange kutoka kwa watu wa watsapp support.
 
Kama umewahi kutumia WhatsApp feki au apk zozote zengine ambazo haukuzipata Play store moja kwa moja kuna uwezekano watu wanatumia namba yako kutuma spam whatsapp. Minimum cha kufanya ni kupiga reset simu yako na usidownload apk zisizoeleweka tumia WhatsApp na app zote kwa ujumla kutoka Playstore.
 
Wanaosema simu za Oppo tatizo mbona yangu haina hayo mambo Wakuu na ndio brand naitumia kitambo hadi leo ni Oppo na Motorola tu.

Muhimu nunua simu mpya achana na simu za mtumba. Simu yoyote mtumba sio ya kuiamini kwanza ni risk unaweza tumika kiduanzi sana.
 
Back
Top Bottom