WhatsApp yafanya Maboresho Yaja na Features Mpya

Hapana hawakuwa na option ya kuongeza kasi ya kucheza sauti yaani ×1 kasi ya sauti ya kawaida ×1.5 unaongeza kasi pamoja na ×2 .
Pia kutuma ujumbe na kujifuta automatiki hawakuwa nayo.
Wewe ndo ulikuwa hujayaona ni zaidi ya mwezi sasa. Uzembe wa kuapdate
 
hawakuwa na option ya kuongeza kasi ya kucheza sauti yaani ×1 kasi ya sauti ya kawaida ×1.5 unaongeza kasi pamoja na ×2 .
Pia kutuma ujumbe na kujifuta automatiki hawakuwa nayo.

Walikua nayo mbona tangu mwezi wa 8 huko mkuu, zote unazosema
 
Hapana hawakuwa na option ya kuongeza kasi ya kucheza sauti yaani ×1 kasi ya sauti ya kawaida ×1.5 unaongeza kasi pamoja na ×2 .
Pia kutuma ujumbe na kujifuta automatiki hawakuwa nayo.
Hii mbona ipo kaka, au kwa kuwa mm natumia GB watsup?
 
Hiyo ilikuwa inatumika kwa unofficial WhatsApp.
Ila hii official ndo wameleta kwa sasa
 
Back
Top Bottom