WhatsApp yafanya Maboresho Yaja na Features Mpya

WhatsApp yafanya Maboresho Yaja na Features Mpya

Hii ni mbaya sana.

Kuna mwanamke wangu alinitumia video tamu ya Utupu.

Bahati mbaya sana niliiangalia mara moja tu pasipokutulia.. Kumbe kai-set on view once.

Kuja kutulia, naona ipo 'opened'. Video hakuna. Nilisikitika sana.
Ungekuwa una gb what's app ungebaki nayo
 
Hizo zinachukua vitu muhimu pasipo ridhaa na zimejaa udukuaji sana.
Kwan official WhatsApp haichukui taarifa za mtu??? We app inakuomba access mpaka ya contact, what do u think?
 
Nilitegemea fb wanunue telegram badala ya whatsay. Am disappointed
 
Kwan official WhatsApp haichukui taarifa za mtu??? We app inakuomba access mpaka ya contact, what do u think?
Official WhatsApp kila kitendo inaomba ridhaa ya mhusika pasipo kuchukua hivyo hivyo.
 
Nilitegemea fb wanunue telegram badala ya whatsay. Am disappointed
Kipindi FB inanunua WhatsApp telegram ilikuwa haija hit kama ilivyo sasa, hata hivyo watu wengi si watumiaji wa telegraph hivyo FB aliangalia soko zaidi nasi ubora.
 
Hapana hawakuwa na option ya kuongeza kasi ya kucheza sauti yaani ×1 kasi ya sauti ya kawaida ×1.5 unaongeza kasi pamoja na ×2 .
Pia kutuma ujumbe na kujifuta automatiki hawakuwa nayo.
Haya maboresho yamekuwepo muda mrefu zaidi ya miezi 2.

Muwe mna update apps zenu mara kwa mara.

Mimi nafanya apps updates kila wiki, nimeona hayo mabadiliko toka mwezi wa 7.
 
Haya maboresho yamekuwepo muda mrefu zaidi ya miezi 2.

Muwe mna update apps zenu mara kwa mara.

Mimi nafanya apps updates kila wiki, nimeona hayo mabadiliko toka mwezi wa 7.
Sawa mkuu lakini hapo juu nimeeleza kuwa tarehe tajwa hapo juu walilazisha kila mtumiaji kuupdate.
 
Na lini multidevice feature itakuwa released kwa watu wote?
 
Sawa mkuu lakini hapo juu nimeeleza kuwa tarehe tajwa hapo juu walilazisha kila mtumiaji kuupdate.
Ukifanya apps updates unapata the best experience ya hizo apps. Mimi kila wiki nafanya apps updates. Jana usiku tu nimetoka kufanya updates.

Unafurahia apps na unafurahia simu ukiwa na tabia ya kufanya updates.
 
Asante mkuu kwa ushauri ngoja iwe tabia yangu kufanya hivyo.
 
Hakuna jipya linalohitajika kwa watumiaj kwa hay yote tajwa apo juu.Feature ziko telegram na sio hao wahuni
Mtakubali lini kwamba whatsapp ni whatsapp tu, haina na haihitaji mshindani, au ushabiki lazima?[emoji28][emoji28]. Telegram hata waanze kugawa ubwabwa haiwezi kuizidi Whatsapp bana
 
Back
Top Bottom