KUMBUKA:
Siku Zote Mwanamke Hawezi Pata Mwanaume Aliye Sahihi 100%:
.
1. Ukimpata Handsome, Kichwa Chake Ni Empty.
.
2. Ukimpata Genius, Yuko Serious Masaa 24 Na Wengi Huwa Hawako Romantic, Hawajipendi Kihiivyo, Wako Rafu Mno.
.
3. Ukimpata Tajiri, Mara Nyingi Hawezi Kukuheshimu Full Madharau, Utamwambia Nini Wakati Hela Anayo Bhana.
.
4. Ukimpata Mfanyakazi Hodari Na Mtafutaji, Hana Muda Wa Kuwa Na Wewe, Muda Wote Anawaza Kazi Na Kutafuta Maisha.
.
5. Ukimpata Mnyenyekevu, Mfukoni Huwa 0%.
.
6. Ukimpata Anayekupenda Kwa Dhati, Anakuwa Siyo Type Yako, Hana Pozi Zile Unazitaka Wewe.
.
7. Ukimpata Msomi, Hasikilizi Ushauri Wako, Anakuona Boya tu.
.
8. Ukimpata Yule Smart, Ni Muongo To The Maximum Na Player.
.
So listen to your heart...[emoji173][emoji173] na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect, hata wewe hauko perfect.
.
Kwa nini kulilia watu perfect wakati wewe mwenyewe hauko perfect??
nimeipenda hiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!