Whatsssssss!!!!!!!!!????

Upo kwenye foleni ya kumuona daktari ,ghafla anatokea mwanamke ambaye umemfuatilia muda mrefu lakini anakupiga kibuti, ila siku hiyo anaanza kukuchangamkia mpaka unaona kama mambo yatajipa, naye anapanga foleni.
Ghafla mlango unafunguliwa anatoka Daktari na anakunyooshea kidole[emoji12]
 
CHEMSHA BONGO HAPA...
Mtoto alimuuliza baba hivi:-
Baba unaweza kutoa gari lako ukampa housegirl?
BABA: Gari langu lina thamani sana siwezi kumpa.
MTOTO: Je! unaweza kumpa housegirl ATM kadi yako pamoja na password?
BABA: Aaaah siwezi anaweza kuiba fedha zangu zote nikawa masikini fedha zangu zina thamani sana.
MTOTO: Vyenye thamani vyote hamtaki kumwachia housegirl mbona mimi mnaniacha na housegirl kwani mimi sina thamani!?
 
SIPENDI UJINGA ISHANIPONZA.
Kwa jinsi lilivyo niponza hili neno silitamki tena.
Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye simu yangu. Huku nikijisifia sipendagi ujinga Mimi. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyewe wa kike. Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu, Mara simu yangu ikawa inaita.
Kucheki namba ngeni.
Nikapokea baada ya salamu.
Me => Nani mwenzangu??
Boss => We hunijui mimi??
Me => Usinijbu swali kwa swali Nita kublacklist sasa hivi, Sipendagi ujinga mimi...
Kwa sasa nazurura tu mtaani na vyeti vyangu[emoji13] [emoji13]
Mi saizi napenda ujinga....
Lakini usiwe ujinga Wa kijinga-jinga sanaaa[emoji1] [emoji1]
 
Hii ndio tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume:-
-Mwanamke anahitaji vitu vingi kwa Mwanaume mmoja.
-Mwanaume anahitaji kitu kimoja tu kwa wanawake wengi.
Huu ni ujinga[emoji12] [emoji13]
 
Picha iliyochorwa na msanii wa kirusi, ambayo inamuonyesha mwanamke akitabasamu. Ila ili ulione tabasamu lake ni lazima uangalie picha hii huku ukiwa kama unafumba macho huku USO wako ukiwa kama unasinyaa kidogo.
JARIBU UONE KISHA fanya[emoji12]
 

Attachments

  • 1479225633861.jpg
    28.7 KB · Views: 47
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro, Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwambia KONDA aniteremshe KIMARA.
Hapo nikawa nimewazidi ujanja[emoji23] [emoji23]
 
KUMBUKA:
Siku Zote Mwanamke Hawezi Pata Mwanaume Aliye Sahihi 100%:
.
1. Ukimpata Handsome, Kichwa Chake Ni Empty.
.
2. Ukimpata Genius, Yuko Serious Masaa 24 Na Wengi Huwa Hawako Romantic, Hawajipendi Kihiivyo, Wako Rafu Mno.
.
3. Ukimpata Tajiri, Mara Nyingi Hawezi Kukuheshimu Full Madharau, Utamwambia Nini Wakati Hela Anayo Bhana.
.
4. Ukimpata Mfanyakazi Hodari Na Mtafutaji, Hana Muda Wa Kuwa Na Wewe, Muda Wote Anawaza Kazi Na Kutafuta Maisha.
.
5. Ukimpata Mnyenyekevu, Mfukoni Huwa 0%.
.
6. Ukimpata Anayekupenda Kwa Dhati, Anakuwa Siyo Type Yako, Hana Pozi Zile Unazitaka Wewe.
.
7. Ukimpata Msomi, Hasikilizi Ushauri Wako, Anakuona Boya tu.
.
8. Ukimpata Yule Smart, Ni Muongo To The Maximum Na Player.
.
So listen to your heart...[emoji173][emoji173] na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect, hata wewe hauko perfect.
.
Kwa nini kulilia watu perfect wakati wewe mwenyewe hauko perfect??

nimeipenda hiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia
"Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????".
Unashtuka ??
Unamuuliza kulikoni? ????
Anakujibu: "Sorry Sio Sms yako?"[emoji12]
Hapo Ndo utajua Kwanini mimi huwa sipendagi ujinga...!!
 
Lakini izo enzi za kina Abraham na Musa
zilikwa funny sana, unakutana na kadem
unakauliza, "How old are you?" kanajibu,
"I'm just 250."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?
DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua mwamvuli badala ya bunduki na akaenda nayo. Ghafla akatokea Simba mbele yake. Ili amtishie Simba, muindaji akatumia mwamvuli na kummiminia risasi Simba. Simba akafa palepale!
MVULANA: Sio kweli!! Lazima kulikua na mtu mwengine pembeni aliyempiga risasi Simba.
DAKTARI: Nashukuru umeelewa somo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MUME: "Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!"
MKE: "Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!"
Je!, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza?[emoji12]
 
Watu wa mieleka bhana...
MTU ANACHUPI HALAFU ANAGOMBANIA MKANDA...
Wa kazi gani sasa...!!!!!?

WANAPENDAGA UJINGA SANA[emoji1] [emoji1]
 
Unakuta mdada anadate na jamaa zaidi ya miezi 6 anambania mzigo hataki kumpa halafu siku anakuja kumfumania jamaa na demu mwingine anaanza kulalamika kuwa jamaa anamcheat.
Hivi Dada Tanesco wakikata umeme
haturuhusiwi kutumia jenereta?[emoji23] [emoji23]
 
Jana nilikutana njiani na Mwalimu aliyenifundisha MATHS Secondary halafu
akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.
Nikamwelekeza:- Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto, ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 30.5 KUSINI MASHARIKI. Kisha tumia PYTHAGORAS
na hakikisha una FOUR FIGURE ili kupata
thamani ya ANGLE.
Mwalimu alisonya na kuondoka.
Stakagi ujinga kabisa mimi, wakati ananichapa
alifikiri sifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikwenda kuchangia damu sehemu!!..
Nimemaliza naambiwa Biscuit na Soda zimeisha...
Nikaondoka na damu yangu...!!
Sipendagi ujinga mimi[emoji1] [emoji1]
 
Umerudi geto mida ya saa mbili usiku unaingia ndani ghafla unamuona nyoka[emoji216] kanyanyua shingo juu ana chezesha mkia na ki-ulimi kinatoka toka nje .....
Kwa ujasili unaamua kuchukua fimbo ili kumuua ...
Lakini ulivyo jasiri zaidi unaamua kufunga na mlango halafu funguo unatupia kitandani unajaribu kumdhuru lakini ghafla umeme unakatika...
Hapo ndo utajua nobody can stop Reggae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakati naperuzi INSTA nimeona wadada wengi wamepost picha za wapenz wao, nikajiuliza kuna nini Leo!??
Kucheki kalenda kumbe mwisho wa mwezi[emoji1] [emoji1] [emoji12]
 
DEMU: Baby naomba cm nicheze game.
JAMAA: Hiyo apo chukua.
BAADA YA MUDA...
DEMU: Na huyu Mariam ndio nan?
JAMAMAA: Hiyo level sijaifikia...
" SIPENDAGI UJINGA MIMI"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huku kwetu Mwizi Kapigwa Mpaka Wamemkata Mkono!, wasamaria Wema Wakamsaidia Kumpeleka Hospital.
Wakati Doctor Anamhudumia Akawa Ameenda Kuchukua Nyuzi, Kurudi mwizi Hayupo Kaamsha na Simu Ya Doctor Na Mkono Kawaachia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eti mwalimu ananiuliza swali ili kuona kama najua lugha ya Wazazi wangu,
Swali: Hivi "Mbu" mnawaitaje kule kwenu!?.
Nikamjibu: Huwa hatuwaiti, wanakuja wenyewe.
Sipendagi ujinga mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…