Whatsssssss!!!!!!!!!????

Kuna kaka mmoja alimchukua dada mmoja na
kwenda nae katika kioksi kwa ajili ya mazungumzo. Walipofika na kukaa tu katika vitu yule kaka akamuuliza yule dada,
“unatumia whatsapp?”, yule dada akajibu majestikale kabisa , “ndio natumia sasa sana za baridi, nimeachana na bavaria siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jama alimpa lift mwanamke,ikawa kila akibadilisha gia mkono unagusa paja la yule binti, yule mwanamke akawa analalamika na kusema kasome mathayo 7:7, jamaa akagopa na kuacha kumshika, ile kufika nyumbani akakimblia bibilia kufungua akakuta imendikwa OMBENI NANYI MTAPEWA!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MSICHANA: Mbona jana nimekupigia simu hujapokea?
JAMAA: please beby forget me .
MSICHANA: eeeh unaniambia hivo mimi?
JAMAA: nakuomba sana forget me .
MSICHANA: aya bwana poa maisha mema.
Msichana anakata simu jamaa ndo ananiuliza."sasa
sijui amekasirikia lipi?" Mi nikamwambia we zuzu umemwambia AKUSAHAU, dah, kumbe ningemwambiaje? hahaha, ungemwambia Forgive me! au Ungesema Tu Naomba
nisamehe[emoji12][emoji13][emoji13]
 
BABA: shika 1,000 usimwambie mama wako nimelala na housegirl MTOTO: wewe baba acha ugumu, mbona mama huwa ananipa 2,000 akilala na dereva![emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwalimu aliingia darasani akawauliza wanafunzi."nini tofauti kati ya umeme na radi?"
mwanafunzi mdogo kuliko wote akanyanyua mkono kwa hamu, mwalimu akampa nafasi."umeme tunalipia lakini radi ni bure haina malipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlevi alingia pharmacy na kusema "tafadalini nahitaji condom" yule mhudumu akabwatuka kaka huna heshima si uagize kwa lugha nzuri.
Mlevi akaona isiwe tabu akafungua zipu akatoa mashine na kuweka mezani na kumwambia mhudmu kwa upole "tafadhali naomba unipatie nguo ya hii kitu![emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juma: unauza nini? Muhudumu: kahawa, chai, maziwa,
Juma: mmetengeneza vitafunio gan? Muhudumu: andazi, sambusa, ugali na kadhalika.
Juma: Haya niletee chai ya rangi na makadhalika mawili! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
It's true kunawatu wanaitwa Munguatosha pengine kafupisha kaita Mungu anakuona aliwa anamaana ya Munguatosha anakuona...!!
 
Juma: unauza nini? Muhudumu: kahawa, chai, maziwa,
Juma: mmetengeneza vitafunio gan? Muhudumu: andazi, sambusa, ugali na kadhalika.
Juma: Haya niletee chai ya rangi na makadhalika mawili! [emoji23][emoji23][emoji23]
ahahayaj supermakert hadi kuna mtu kacopy uchesh wako humu we ni noma duh.
 
ahahahahsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…