Whatsssssss!!!!!!!!!????

Ushawahi kuwa na mpenzi muongo mpaka akikwambia GOOD NIGHT unatoka nje kuhakikisha kama ni usiku kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ha hahaha tuma nauli ndiyo ufe
Wakati mama yako anahangaika kukuombea wewe na jina lako ni CHAUSIKU MWAKAKUYA.....lakini umebadilisha na kujiita Miss chaga, geniverous, me too..

Dada unawapa tabu Malaika kukutafuta.
 
Nimefika hapa Polisi Station Minanzini nimefarijika sana baada ya kumkuta askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani alimuua Goliathi? Akasema Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo anahusika na Kesi za mauaji.[emoji23][emoji23]
 
_*Wanawake wa Tz bana! Wao hawakumchagua Anna Mgwira wa ACT alafu wanataka wa Marekani wamchague Hillary... hebu msituchoshe..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wakati mama yako anahangaika kukuombea wewe na jina lako ni CHAUSIKU MWAKAKUYA.....lakini umebadilisha na kujiita Miss chaga, geniverous, me too..

Dada unawapa tabu Malaika kukutafuta.
ujue nawe unatupa tabu tunaulizia apple lipo unasema hamna huku umebandika ni supermarket. teh teh teh
 
Wakati mama yako anahangaika kukuombea wewe na jina lako ni CHAUSIKU MWAKAKUYA.....lakini umebadilisha na kujiita Miss chaga, geniverous, me too..

Dada unawapa tabu Malaika kukutafuta.

MTOTO:Baba kati ya kupata na kukosa ipi bora??
BABA:Kupata mwanangu
MTOTO:Basi nimepata mimba...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa mmoja alikua anacheka sana watu wakamuuliza kwann unacheka hivo[emoji780]

rafikii yangu kaniibia namba ya demu wangu kwenye simu yangu
watu wakamuuliza sasa ndo maana anacheka akasema nacheka kwa sababu anamtongoza na kumtumia masage za mapenz dada yake nwenyewe
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…