Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????

Jana niligombana na mke wangu, Akaniambia nibebe kila kitu changu niondoke, Bas kiustaarabu tu nikachukua nguo zangu,mwishoni nikambeba na yeye nikamuweka begani nikaanza kuondoka nae

hua sipendagi ujinga, amesahau na yeye pia ni wangu[emoji23] [emoji23]
 
Kichaa mmoja kapiga simu hospitalini

KICHAA: Helooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu??_

Nurse MAPOKEZI: subiri nikaangalie.

KICHAA😛ouwaaaaaa

Nurse MAPOKEZI:nimekwenda kuangalia hakuna mtu,kwanini umeuliza hivyo?

KICHAA:nilitaka kupata uhakika kama kweli nimetoroka au bado nipo:[emoji23][emoji23]
 
Bongo Movie Bana Eti Jambazi Kamnyoshea Mtu Bastola Alafu Anamwambia . NITAKUCHINJAAAA..

Nimezima Tv, Nimeona Niingie Jamii Forum[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msijiulize nachekea nini kuna limtu silipendagi huko instagram sasa limetuma vichekesho vinachekesha kweli na me staki ajue kama nimecheka ndo niimeona bora nije kuchekea huku Jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1479125011775.jpg
 
Unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya Mpesa linampata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tafuta pesa sasa
 
ONYO
Wale mademu mnaoshinda mkituringia na makalio[emoji527] yenu makubwa

Mkumbuke hata TV za makalio zilipita fashion zikaja flat na ndio habari ya mjini kwa sasa

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom