Whatsssssss!!!!!!!!!????

Kuna Jamaa Mmoja Alikamatwa Na Polisi Na Kupelekwa Mahabusu Wakati Anaingia Watu Mle Ndani Wakaanza Kushangalia " Mwaliii,mwaliiii Jamaniii Mwaliiii."
Jamaa Akaona Hii Balaa Na Akifanya Mchezo Watamfanyia Kweli Akaamua Kujikaza Kisabuni Na Kukunja Sura,
Jamaa Mmoja Akamuuliza Kwa Kumfokea " Umeletwa Humu Ndani Kwa Kosa Gani?."
Ndipo Jamaa Akajibu " Nimeua Watu Wanne Mimi Peke Yangu."
Waliposikia Ivyo Hakuna Aliyemgusa,
Ndipo Asubui Ndugu Zake Wakaja Kumtoa Polisi Akamfata Mahabusu Na Kumwambia " We Mwizi Wa Kandambili Ebu Njoo Ndugu Zako Wanakungoja."
Basi Mahabusu Nzima Kila Mtu " Ayaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afisa Misitu Alienda Kutembelea Misitu Alipofika Maeneo Ayo Kulikuwa Na Mlinzi Na Alipotaka Kuingia Mlinzi Akamzuia Na Kumwambia " Usiingie Muda Huu."
Yule Afisa Akacheka Na Kumuonyesha Kitambulisho " Nikiwa Na Hiki Hakuna Yoyote Wa Kunizuia Kufanya Kazi Yangu."
Yule Mlinzi Akamruhusu Aingie Baada Ya Muda Mfupi Yule Afisa Akawa Anarudi Mbio Huku Akikimbizwa Na Nyuki Na Akilia " Mamaaa, Mamaaa Nakufaaa Niokoeni Jamaniii"
Yule Mlinzi Akacheka Na Kumwambia " Usijali We Waonyeshe Kitambulisho."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Mdada Flani Alipokea Msg Kutoka Kwa Bwana Wake Wa Pembeni Ya Kuwa Waachane,
Alipokuwa Akiisoma Machozi Yakawa Yanamtoka,
Mume Wake Alipomuona Akamuuliza:
MUME: Mbona Unalia?
MKE: Dada Amenitumia Msg Jinsi Ya Kupika Pilau.
MUME: Sasa Ndo Unalia?
MKE: Si Nimefika Sehemu Ya Kukata Kitunguu[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa Mmoja Aliondoka Asubuhi Kwenda Kazini Ilipofika Mchana Akampigia Simu Mke Wake:
Jamaa: Halooo! Mke Wangu Vipi?
Mke: Safi.
Jamaa: Uko Wapi?
Mke: Si Niko Nyumbani.
Jamaa: Kama Kweli Uko Nyumbani Washa Blender Nisikie.
Mke: <akawasha> Si Umesikia?
Jamaa: Sawa! Nitakuja Baadae.
" Siku Ya Pili Hivyo hivyo Akapiga Simu"
Jamaa: Haloo! Za Saa Hizi?
Mke: Salama.
Jamaa: Uko Wapi?
Mke: Kama Ulivyotuacha Asubuhi Nyumbani.
Jamaa: Kama Ni Kweli Uko Nyumbani Washa Blender Niamini?
Mke: < Akawasha> Si Umesikia?
Jamaa: Yaaah Nitakuja Baada Ya Masaa 2.
" Akafanya Ivyo Kama Siku Sita Lakini Kuna Siku Akaja Bila Kumtaarifu Alipofika Nyumbani Akamkuta Dada Wa Kazi Yuko Peke Yake Akamuuliza:
Jamaa: Vipi Mama Yako Yuko Wapi?
Dada: Sijui Mana Katoka Na Blender Tangu Asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee Mmoja Aliwakataza Vijana Kuvuta Bangi Karibu Na Nyumba Yake Wakaamua Kumwamisha,
Kwanza Wakavuta Bangi Ya Kutosha Wakavua Mashati Wakaanza Kusukuma Ile Nyumba, Walipokuwa Wakifanya Ivyo Kibaka Akapitia Yale Mashati Mmoja Wao Alipogeuka Nyuma Hakuyaona Akajua Wameshafika Mbali Akawaambia Wenzie " Tukazane Tumefika Mbali Hata Nguo Zetu Hazionekani." [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Walevi Wawili Walikuwa Wanapiga Stori:
MLEVI 1: Jana Niliota Nimeenda Marekani.
MLEVI 2: Na Mimi Jana Niliota Nimeokota Mibunda Ya Hela Ebhna Nikaenda Kufanya Matanuzi Balaa.
MLEVI 1: Daaah! Yani Kumbe Rafiki Yangu We Mchoyo Ivyo Hata Kunipitia Twende Wote.
MLEVI 2: Kwako Nilikuja Ila Mkeo Akaniambia Umeenda Marekani[emoji12] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa Karudi Ghafla Home Si Akasikia Sauti Za Ajabu Toka Chumbani Kwake, Akavunja Mlango Na Akamkuta Mkewe Akitetemeka Jamaa Akauliza " Vipi Mke Wangu?"
Mke Akajibu " Presha Imepanda."
Jamaa Akakimbia Sebuleni Apige Simu Ambulance ije Wakati Anahangaika Kutafuta Namba Mwanae Akaja Akamwambia " Baba Anko Yuko Uchi Kwenye Kabati Chumbani."
Jamaa Akatupa Simu Na Kurudi Chumbani Alipofungua Akamkuta Mdogo Wake Kabatini Bila Nguo Nae Anatetemeka Jamaa Akamwambia " Na Wewe Vipi Unazubaazubaa Bila Nguo Unatisha Watoto Wakati Shemeji Yako Ameshikwa Na Presha Vaa Upesi Ukaite Ambulance."
[emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UNAZIKUMBUKA HIZI:
1} Hata Uzame Vipi Kwenye Dimbwi La Mapenzi Huwezi Ibuka Na Samaki.
2} Hali Ya Hewa Hata Ichafuke Vipi Haiwezi Kufuliwa.
3} Hata Kama Uchumi Unashuka Lakini Huwezi Kujifunika.
4} Hata Mwisho Wa Nchi Kuna Mipaka Lakini Hailii Nyau.
5} Makalio Hata Yawe Na Haraka Kiasi Gani Daima Yatabaki Nyuma.
6} Hata Uwe Msomi Vipi Huwezi Kuwa Na Notic Za Chekechea.
7} Hata Uwe Msafi Vipi Huwezi Kuchimba Shimo La Taka Sebuleni.
8. Hata uwe mpishi vipi huwezi kuonja maji ya ugali.[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Jamaa Mmoja Kipofu Alienda Kwenye Hoteli Flani Baada Ya Kufika Akaja Mzee Mmoja Akamuuliza "unahitaji Chakula Gani?"
Jamaa Akasema" Mimi Ni Kipofu Hivyo Siwezi Kuchagua Chakula Lakini Kama Kuna Kijiko Kilichotumika Niletee Ninuse Halafu Nitakwambia Nataka Chakula Gani."
Mzee Akaenda Jikoni Akamletea Kijiko Kilichotumika,
jamaa Alipokinusa Akasema "niletee Hiki hiki viazi na maharage" mzee akashangaa sana kwasababu ni kweli aliyetumia alikula viazi na maharage,basi akamletea jamaa akala akaondoka.
akarudi kesho yake na kesho kutwa akawa anafanya hivyo ivyo basi alipokuja siku nyingine mzee leo nataka nimjaribu akaenda jikoni akamwambia mke wake (mwajuma) ambaye alikuwa ndo mpishi akasema" leo mke wangu nataka nimjaribu huyu jamaa nataka uchukue kijiko kisafi uweke kwapani halafu umpelekee jamaa halafu tuone atafanyaje" basi mke wake akafanya ivyo, yule mzee alipompelekea jamaa akakinusa halafu " Duuuh Sikujua Kama Mwajuma Anafanya Kazi Hapa [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MTOTO: Hivi Mama Binadamu Tulitokea Wapi?
MAMA: Hapo Mwanzo Walikuwepo Adamu Na Hawa Hao Ndio Binadamu Wa Kwanza Kisha Wakazaa Watoto Mpaka Dunia Imejaa Hivi.
{mtoto Akaenda Kumuuliza Na Baba Ake}
MTOTO: Hivi Baba Binadamu Tulitokea Wapi?
BABA: Hapo Zamani Tulikuwa Nyani Ila Baadae Ndo Tukabadilika.
{mtoto Akarudi Kwa Mama}
MTOTO: Mama Kumbe Umenidanganya Mbona Baba Kaniambia Binadamu Walikuwa Nyani?
MAMA: Ni Kweli Sijakudanganya Ila Baba Ako Alikuwa Anakupa Historia Ya Ukoo Wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzungu Flani Alienda Bank Akiwa na Nyani Wake alipofika nje akawakuta waafrika wamekaa akawaambia " Ebu niangalizieni ndugu yenu nitakuja kumchukua"
alipoingia ndani wale watu wakamuua yule nyani baada ya nusu saa akatoka akashtuka alipoona nyani wake amekufa akawauliza " kimetokea nini mpaka amekufa?"
wale watu wakamjibu" Haikuhusu Haya Ni Mambo Ya Kifamilia." [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Jamaa mmoja alitaka kujiua kisa kila alipokuwa akifanya kazi kidogo tu anafukuzwa.
rafiki yake akamshauri aende jeshini,
jamaa akasema "ntaweza kweli?" rafiki yake akasisitiza aende.
Basi jamaa kafika jeshini kuomba kazi na akapata na wiki ya kwanza wamepelekwa msituni kwenye mazoezi ya kulenga shabaha kwa kuanza kila mtu anapewa risasi 30 na sehemu ya umbali kama mita 5 yenye ukubwa wa saizi ya mlango ili uweze kulenga baada ya mazoezi watu wote waliokuwa naye kwenye mazoezi wakapata zote.
Jamaa hakuweza kabisa kulenga hata 1 akawa analia wakamuuliza vipi akajibu nimekosa 29 imebaki 1 naogopa pia nitakosea.
Mkuu akamwambia wewe hutufai iyo risasi moja iliyobaki bora ujimalize mwenyewe.
Jamaa akakimbilia kichakani baada ya sekunde chache wakasikia mlio wa risasi wakapaniki kwa yule mkuu kwanini alimwambia ajimalize.
walipoenda kichakani wakamkuta jamaa mzima walipomuuliza vipi imekuwaje?
akajibu: Hata hiyo Risasi Moja Iliyobaki nimejikosa."[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Kijana Ndo Kwanza Kaajiriwa Kuuza Dukani,
Siku Hiyo Mwenye Duka Akiwa Kakaa Kwenye Kiofisi Cha Ndani Akasikia Kijana Wake Akimjibu Mteja
KIJANA: Kwakweli Mama Hatuna Kabisaa,na Nikiangalia Dalili Sidhani Kama Tutakuwa Nayo Karibuni...
Mwenye Duka Katoka Haraka Kwenye Ofisi Na Kumuwahi Mteja.
MWENYE DUKA: Hapana Mama.Kijana Wangu Amekosea,hiyo Tumeishiwa Jana Tu Na Nimekwishaagiza Oda Kubwa Toka China, ukija Wiki Ijayo Utapata Kila Aina. Kisha Akamvuta Kijana Pembeni....
MWENYE DUKA: Nakwambia Mwiko Nasema Mwiko Katika Duka Langu Kusema Kitu Hakuna Umeona Nilivyojibu? Na Huyu Mama Sasa Amepata Imani Na Duka Hili.
Haya Huyu Mama Alikuwa Anaulizia Nini?
KIJANA: Mzee Ulitukatisha Tulikuwa Tunaongelea Mvua[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Jamaa Mmoja Kaishiwa Hela Akamfata Rafiki Yake Amkope,
JAMAA: Daah Rafiki Yangu Nimekwama Naomba Unikope Hela Na Nitaweka Rehani Nzuri Ili Uamini Ntakulipa.
RAFIKI: Utaweka Nini?
JAMAA: Ntakupa Mwanangu Ukae Naye Mpaka Nikurudishie Hela Zako.
RAFIKI: Arrghh! Hamna Lolote Unataka Nikutunzie Mwanao tu si useme[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
James Na Paulo Walikuwa Wanabishania Kazi Za Baba Zao.
JAMES: Baba Yako Hamuwezi Kabisa Baba Yangu.
PAULO: Mi Baba Yangu Ndo Balaa Wewe.
JAMES: Yani Wangu Ndo Balaa Tena Ana Watu Mia Tano Wako Chini Yake.
PAULO: Duuh Acha Utani Kwahiyo Anafanya Kazi Gani?
JAMES: mlinda makaburi[emoji12][emoji13]
 
Ilikuwa Kwenye Daladala Flani Hivi:
KONDA: Nyie Madenti Achieni Siti Sogeeni Nyuma, Halafu Madent Wa Siku Usharobaro Na Ublaza Men Tu Wakati Elimu Sifuri Yani Enzi Zetu Mtu Ukitoka Shule Unakuwa Na Kitu Kichwani.
DENTI: Ebhana Hizo Kashfa Tunasoma Na Tunaelewa.
KONDA: Haya Nambie 3 Mara 3 Ngapi?
DENTI: 33.
KONDA: Umebahatisha Au Utakuwa Umetajiwa Na Mwenzio Nyuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zuzu Alikuwa Anapita Mtaani Huku Ameshika Bisibisi,
Jamaa Yake Akamuuliza,
JAMAA: Zuzu Vipi Mbona Unakazana Hivyo Na Hiyo Bisibisi?
ZUZU: Nawai Benki Kufungua Akaunti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa mmoja mlevi alikuwa na nyumba yenye shimo kubwa uani ila halikuwa na mfuniko,
siku moja alirudi kalewa usiku saa 8 akamgongea mkewe,
JAMAA: mke wangu nifungulie niingie.
MKE: sifungui.
JAMAA: kama hutaki najitumbukiza kwenye hili shimo nife kabisa.
MKE: we tumbukia tu huna faida.
basi jamaa akachukua jiwe kubwa akalitumbukiza pwaaah,mke baada ya kusikia ivyo akajifunga khanga akatoka nje haraka,na alipotoka jamaa akaingia na kumfungia mlango.
MKE: nifungulie kama hutaki napiga kelele kwa majirani.
JAMAA: we piga halafu uwaambie usiku wote huu umetoka wapi tena ukiwa na khanga moja tu[emoji12][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…