supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Kuna Jamaa Mmoja Alikamatwa Na Polisi Na Kupelekwa Mahabusu Wakati Anaingia Watu Mle Ndani Wakaanza Kushangalia " Mwaliii,mwaliiii Jamaniii Mwaliiii."
Jamaa Akaona Hii Balaa Na Akifanya Mchezo Watamfanyia Kweli Akaamua Kujikaza Kisabuni Na Kukunja Sura,
Jamaa Mmoja Akamuuliza Kwa Kumfokea " Umeletwa Humu Ndani Kwa Kosa Gani?."
Ndipo Jamaa Akajibu " Nimeua Watu Wanne Mimi Peke Yangu."
Waliposikia Ivyo Hakuna Aliyemgusa,
Ndipo Asubui Ndugu Zake Wakaja Kumtoa Polisi Akamfata Mahabusu Na Kumwambia " We Mwizi Wa Kandambili Ebu Njoo Ndugu Zako Wanakungoja."
Basi Mahabusu Nzima Kila Mtu " Ayaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]