Whatsssssss!!!!!!!!!????

Baba nae yummooooooh..!!
 
Hahaaaaaaaaa...!!!
Noma kilo mbili unusu.
 
Na mshikaji boya,hajui kwamba laini inachomekwa na kuchomolewa kwenye simu yoyote, tena siku hizi inachooonnggwaaaaaa...!!
Hahaaaaaaa....!!!
 
Na mshikaji boya,hajui kwamba laini inachomekwa na kuchomolewa kwenye simu yoyote, tena siku hizi inachooonnggwaaaaaa...!!
Hahaaaaaaa....!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kundi la wake za watu walikuwa kwenye semina kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa. Muwezeshaji akauliza, wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono.
Akauliza tena, ‘Mara ya mwisho umemwambia mumeo
nakupenda lini?. Majibu
mbalimbali yalitolewa, Wengine wakisema Leo, wengine Jana, wengine hawakumbuki. Kisha akawaambia, kila mtu achukue simu yake halafu amtumie mumewe text yenye maneno.
NAKUPENDA MPENZI, kisha wabadilishane simu.
Wakaambiwa kila moja asome majibu kwenye simu aliyoshika, majibu yalikuwa kama ifuatavyo;
Simu 1- Samahani nani mwenzangu?
Simu 2- He Mama Joji unaumwa?
Simu 3- Nami pia daima
Simu 4- Nini tena umeshagonga gari?
Simu 5- Sijakuelewa una maana gani
Simu 7- Umefanya nini tena? Leo sitakusamehe
Simu 8-Chukua taim yako
Simu 9-?!?
Simu 10- Acha kuzunguka unataka shilingi ngapi?
Simu 11 – Hivi naota?
Simu 12 – Kwa kweli leo usiponieleza hii mesej ulikuwa unampelekea nani atakufa mtu shenzi mkubwa
Simu 13 – Nilishakwambia
usirudie kunywa pombe au
ntakuacha naona umechoka kuishi na mimi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ndani ya daladala,
DEMU: samahani kaka naomba unipakate,
JAMAA: usijali njoo tu,
DEMU: haya,
JAMAA: inaonekana ww ni sekretari..?,
DEMU: ndio kwa nn,
JAMAA: vidole vyako laini kweli,
DEMU: na ww ni fundi magari?
JAMAA: ndio, kwa nini?
DEMU: hapa nilipokaa naona nainuliwa na kitu kama jeki!! [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zuzu aliumwa na nyoka, akaanza kucheka hadi machozi yakamtoka. Jirani akamwona akamwuliza, "mbona unacheka na umeumwa na Nyoka?"
Zuzu akajibu, namcheka huyu Nyoka, kaniuma hajui kama nina UKIMWI..!!" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wizi ulifanyika katika nyumba ya mpare na muhusika baada ya kufuatilia aligundua kuwa aliyemuibia ng’ombe wake alikuwa ni Mmasai mmoja wa ng’ambo ya pili;
Mpare alifungulia kesi ya wizi na mahojiano mahakamani yalikuwa kama ifuatavyo:
MMASAI: Wewe anasema mimi nimeiba hiyo Ng'ombe yako,
MPARE: Ndiyo
MMASAI: Niliingia kwa ile mlango ya nyuma ama ya mbele
MPARE: Ya nyuma
MMASAI: Imekosa, niliingia kwa ile mlango ya nyuma ya nyumba
MMASAI: Nilipokuswaga ile ng’ombe dume alitangulia mbele au alikuwa nyuma
MPARE: Uliswaga Ng’ombe kwa nyuma
MMASAI: Mekosa tena, Alienda kwa mbele ng’ombe akanifuata yenyewe.
MMASAI: Je ile Ng’ombe alikuwa iko ngapi?
MPARE: Ng’ombe walikuwa wako 7
MMASAI: Amekosa kabisa, ng’ombe alikuwa ni 5 tu!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bibi mmoja wa MTWARA alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo kwa miaka mingi. Majuzi tu hapa akapelekwa Hosptal. Dk. alipompima akamwambia yule bibi
"TUMBO LAKO LIMEJAA GESI inatakiwa ufanyiwe upasuaji".
Bibi kusikia vile ghafla akakurupuka mbio huku akipiga mayowe akisema hivi; haiwezekani, hii gesi yangu natafuta mwekezaji mimi mwenyewe, hii haipelekwi Dar es Salaam ng'o, kwakweli mungu ametujalia wana Mtwara, Gesi baharini hadi matumboni. [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Teja mmoja aligombana na baba ake nyumbani, akaondoka na kwenda makaburini kisha akabandika picha ya babaake katika mlango wa kuingilia kaburini akaiandika "COMING VERY SOON" [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MKE: huyu jirani ananitongoza.
MUME: wee mkubalie alaf mwambie aje mfanyie hapa, mi najificha uvunguni nimwonyeshe kazi.
Siku ya kazi ilipofika.
Jamaa akiwa amevua nguo dem kauliza mbona unamakovu hivi?
JAMAA: mimi nafumaniwaga sana, ila nimewaua wote walonifumania jumla19. Jamaa kala mambo kaondoka salamaa...
MKE: mme wangu hunipendi sasa umefanya nini?
MUME: We mpuuzi nini? Ulitaka niwe wa 20 kuuliwa?. [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mwanasheria alifanya mapenzi na demu kwenye gari, yule demu akasahau chupi yake, Mke wa mwanasheria alipoingia kwenye gari akaiona chupi kwa hasira akaichana na kumkaripia mumewe,
MWANASHERIA: umechana ushahidi ktk kesi ya ubakaji na ningepata milioni 2 kwa kesi hii.
MKE: samahani sana mume wangu sikujua nenda katafute nyingine baba watasema umekula rushwa bure! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa mmoja alinunua kifaa chakumkamulia ng'ombe maziwa,
alipofika nyumbani akasema ngoja akijaribishe.
Akakivaa kwenye Dushelele halafu akakiwasha ghafla kikawa kinamtekenya mpaka jamaa akamwaga(sperm).
Sasa akawa anahangaika kutafuta pakuzimia, mara akaona namba za
kampuni, ikabidi awapigie awaulize pakuzimia ni wapi?
Wakamjibu "usijali zikifika lita 5 kitazima chenyewe".[emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwizi kaiba TV na kuanza kukimbia nayo. Kumbe kwenye ile nyumba mlikuwa na chizi, mara chizi akaanza kumkimbiza yule mwizi! Kila mwizi akiongeza mbio chizo nae anaongeza spidi! Mwisho mwizi akachoka akasalimu amri na kusimama. Yule chizi akamsogelea huku akihema na kumwambia. Daaah! umesahau remote hii hapa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Familia moja ya kichagga walikua wanauguliwa na baba yao. Baada ya vipimo hospitalini, waliambiwa inabidi mgonjwa akatibiwe INDIA. Gharama ni 8,500,000/=
Kaka wa familia aitwaye Ambrosi akasema, chaaaa..! Lekeni utondo wasoroo. Gharama za mazishi, hazifikii hata nusu ya za matibabu [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlokole mwenye guest
alikataa yanki mmoja
aliyekuja na mama mtu
mzima kupata chumba
akisisitiza kuwa guest yake
hairuhusu uasherati. Yule
mama akaja juu na
kumwambia Mlokole kuwa
yule kijana ni mwanae,
basi wakapewa chumba.
Mlokole akamtuma
muhudumu mmoja
akachungulie kwenye
dirisha la wapangaji hao ili
kuona kama kweli ni mtu
na mzazi wake. Baada ya
muda muhudumu akarudi
na jibu,' Mzee kweli wale ni
mtu na mtoto wake,
nimemuona yule mama
anamnyonyesha mwanae [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Jamaa mmoja amempa mkewe talaka 3 baada ya kukasirishwa na maneno yaliyoandikwa kwenye kanga aliyovaa mkewe.
Jamaa ambaye alisafiri kwa muda wa miezi 2, alishtushwa aliporudi na kumkuta mkewe amevaa kanga iliyoandikwa "heri nimpe jirani kuliko kioze ndani[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
MAMA: mwanagu njoo nikufundishe hesabu
MTOTO: haya mama
MAMA: kwa mfano shangazi yako akikupa maandazi mawili halafu akakupa tena mawili jibu lako litakuwa nini.?
MTOTO: nitasema ahsante shangazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Padri alikua anafuga kuku..
Siku 1 kuku wake jogoo akapotea, akaamua kutangaza kanisani,
PADRI: waumini wangapi wana jogoo?
Wanaume wote wakasimama.
PADRI: sio hivyo, wangapi wameona jogoo?Wanawake wote wakasimama..
PADRI: Hamjanielewa wangapi wamemuona jogoo wangu?
Masista wote wakasimama..! [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Baada ya ugomvi nyumbani, mke akaenda chumbani na akaanza kupack nguo..
MUME: sasa unataka kwenda wapi?
MKE: naenda nyumbani kwa mama yangu, kwani unafikiria nilifukuzwa nyumbani?
Baada ya kujibiwa vile, mume nae akaanza kupack nguo zake.
MKE: sasa unataka kwenda wapi?
MUME: mimi pia naenda kwa mama yangu.
MKE: na watoto watabaki na nani?
MUME: wewe unaenda kwa mama yako, mimi naenda kwa mama yangu, WATOTO PIA WATAENDA KWA MAMA YAO [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…