Whatsssssss!!!!!!!!!????

[emoji5] [emoji4]
 
Ha ha ha ha
 
[emoji23] [emoji23] ndoalokuwa akiyataka
 
Sister marieta alikuwa makin kujua kinachoelelea
 
Wasichana wambea wakiongea.
Girl 1: Mwaya nimeolewa
Girl 2: Oh,hiyo ni nzuri dia
Girl 1: No,siyo nzuri ni mbaya, mana ana sura mbaya.
Girl 2: Oh kama hivo ni mbaya kweli
Girl 1: No si mbaya mana ni tajiri.
Girl 2: Oh, basi ni nzuri
Girl 1: No ni mbaya, mana huwa hanipi hela
Girl 2: Oh hiyo ni mbaya
Girl 1: Si mbaya mana ameninunulia nyumba nzuri
Girl 2: oh hiyo ni nzuri
Girl 1: siyo nzuri mana nyumba iliungua
Girl 2: Oh hiyo ni mbaya
Girl 1: No siyo mbaya, mana
nyumba ilipoungua yeye alikuwa ndani wakaungua wote. [emoji12][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
MUME: Mke wangu nimepata tatizo ofisini.
MKE: Mume wangu unakosea kusema hivyo, sisi ni mwili mmoja, sema tumepata tatizo.
MUME: Kweli mke wangu,
MKE: haya nambie ni tatizo gani mume wangu
MUME: Tumempa mimba sekretari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MUME: Mke wangu nimepata tatizo ofisini.
MKE: Mume wangu unakosea kusema hivyo, sisi ni mwili mmoja, sema tumepata tatizo.
MUME: Kweli mke wangu,
MKE: haya nambie ni tatizo gani mume wangu
MUME: Tumempa mimba sekretari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa kakosea, baada ya msg kutuma kwa hawara katuma kwa mama mkwe! ilikuwa inasema, ''Mimi nakupenda nimevumilia nimeshindwa nimeona nikwambie ya moyoni, naomba tuwe wapenzi mke wangu hawezi kujua.
Wakati anatafakari atafanyaje jibu likaja kutoka kwa mama mkwe ''nami nakupenda, ungechelewa ningekwambia mimi, maana huwa ukiwa na mwanangu mi ndo nadata mpenzi, leo usiku uje'..dah [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Jamaa alienda kwenye mahakama moja huko majuu, kwa vile kizungu hakikuwa sawa sawa kwake palitokea minong'ono mikubwa mahakamani, hakimu akasema kwa kizungu kupata utulivu "Order...Order.." Jamaa kusikia vile akasema kwa sauti "chips kuku na soda tafadhali"[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mwanamke mmoja alimuambia mwanaume "kaka unaweza kunisaidia kutoa kitu kwenye chuchu zangu?"
Yule mwanaume akafurahia kweli na kumuuliza "ni nini hicho cha kutoa?"
Mwanamke akamjibu "hayo macho yako ndio uyatoe kwa maana umezidi kuniangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama.
"padri naungama dhambi zangu, leo nimefanya dhambi kubwa sana "
"endelea"
"bosi wangu aliniita nyumbani kwake akaniambia amegundua nimeiba shilingi milioni 50, akasema nisipotoa maelezo ya kutosha atanipeleka polisi.
Sasa ukweli mimi naogopa kufungwa, nikatazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu, nikachomoa bastola nikamuua. Yesu atanisamehe?
"utasamehewa"
"Basi wakati nataka kuondoka nikasikia mlango unafunguliwa,
kutazama loh, mke wa bosi. Akaniuliza nimemfanya nini mume wake. Kutazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu, nikamuua na yeye. Yesu atanisamehe na hiyo?"
"utasamehewa"
"nikatoka nje, nikawasha gari niondoke lakini mlinzi akakataa kufungua geti akasema amesikia kama
kishindo hivi! Nikaona ananiwekea kiwingu. Kutazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu nikamuua. Yesu atanisamehe?"
"utasamehewa" "nikajifungulia geti mwenyewe nikaenda nyumbani, wakati napanga kuja kuungama mtoto wa bosi akabisha hodi nikawaza mambo gani tena. Akasema amerudi nyumbani na kukuta yaloyotokea, lakini akanionyesha diary ya baba yake inayoonesha kuwa nilikuwa na appointment naye kabla hajafa.
Nikamuuliza nani mwingine anajua, akasema ameanzia kwangu kisha atakwenda polisi. Nikatazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu nikamuua. Diary nikaichoma moto.
Yesu atanisamehe na hilo ?"
- kimya........
"padri, Yesu atanisamehe kwa hilo ?"
- kimya..... Jamaa kutazama kwenye kibox padri hayupo. Lakini kwenye kona moja akaona kabati la ngou za mapadri kama linatikisika. Kufungua akamuona padri kajificha katikati ya majoho anatetemeka.
"sasa baba mbona umenikimbia?" padri kwa taabu akajibu "nilitazama huku na huku nikagundua kuwa tuko wawili tu peke yetu........" [emoji12][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23]
 
POLISI: nimekuja nyumbani kwako kukupa taarifa kuwa ajali ya gari imetokea, inasemekana mke wako amefariki, naomba twende ukaangalie kama utaitambua maiti.
MUME MLEVI: potezea bhana usinisumbue, kama vipi mpige picha halafu upload insta then unitag ukiona nimeLIKE ujue ndo yeye. [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mwalimu kamuuliza mwanafunzi swali;
MWALIM: iweke kwenye kiswahili sahihi "dont trouble trouble before trouble troubles you"
DENT: usitoboe tobo kabla ya tobo halijakutoboa. [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23]
 
Cheki jinsi shahidi alivyojikanganya mahakamani baada yakumaliza kutoa ushuhuda wake.
HAKIMU : je ndugu shahidi ni mara yako yangapi kuhudhuria mahakamani?
SHAHIDI: ni mara yangu ya kwanza hakimu.
HAKIMU: je ni mara yako ya ngapi kushuhudia uongo mbele ya mahakama?
SHAHIDI: ni mara yangu ya kwanza hakimu [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Muhindi alikamatwa na city anakojoa sehemu isiyoruhusiwa, akatozwa fine tsh 1000 kwa kosa lakukojoa hadharani yeye akalipa 1500 akaambiwa amezidisha hela!! akajibu, mimi penda sana bilibili wakati nakojoa iko jamba kidogo, iyo mia tano fidia na ushuziii!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Babu mmoja alikuwa akivuka barabara, ghafla akagongwa na baiskeli akazimia, wasamaria wema wakamweka kando ya barabara,
mpita njia akasema "mnunulieni maziwa "Gafla yule babu akasema na bagia za 300/= [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoto mmoja anayesoma shule ya bweni baada ya kuishiwa pesa akaamua kumwandikia baba yake ujumbe ili kuomba pesa.
MTOTO: Huku hali ni tata, nitumie pesa ya matumizi haraka iwezekanavyo vinginevyo najiua.
BABA: Huku nyumbani hali ni mbaya zaidi, sina pesa, jiue na Mungu akulaze mahali pema peponi mwanangu [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwizi alimuona alimuo tajiri mmoja akizikwa na vito vingi vya thaman, akajsemea kimoyomoyo: uusiku nakuja kuliiba hlo jeneza lote, basi giza lilipofka akaenda kuiba lile jeneza, wakati amelibeba yupo njiani akakutana na doria ya police, alipowakaribia akaanza kuzungumza kwa sauti, "mimi niliwaambia wanizikie morogoro wao wamenizkia dar, naenda morogoro mwenyewe, police kusikia hvyo wote wakatimua mbio [emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi wakati mmoja panya katika pitapita zake mwituni alimkanyaga nyoka kwa bahati mbaya. Ikabidi panya aombe msamaha na kumwambia nyoka pole.
NYOKA: pole ya nini? hebu kione, kitoto kidogo madevu kibao mwili mzima..
PANYA: akacheka sana na kumwambia nyoka na wewe je? Jitu kubwa na bado linatambaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…