Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????

Mlevi kaingia bar na kumwambia meneja.... "Ebwana daaaah...
Unajua mi ninashabaha ile
mbaya... Naweza kujaza mkojo kwenye ileeee chupa ya juu kabisa counter bila hata kudondosha hata tone..."
Meneja akabisha na kupinga kabisaaaa, mshikaji akamwambia. "Basi tufanye hivi. Nakupa laki moja nikidondosha hata tonye pembeni, na nikishindwa we nipe bia 3 tu..."
Meneja akaona isiwe tabu, kucheki huku na kule akaona baa watu wako busy busy akakubali... Bila taabu, jamaa akasogea kaunta.... Akaanza kukojoa lakini hakufikisha hata punje kwenye chupa.... Meneja akadai chake, mshikaji akatoka nje na kurudi na kama milioni moja mkononi huku akitabasamu, akampatia meneja pesa yake.
MENEJA: (akauliza kwa mshangao) "Hiyo mihela umeokota wapi na mbona unatoa kirahisi hivyo huku ukitabasamu?!"
MLEVI: nimeweka dau la laki moja moja na watu kama kumi na wale jamaa paleee nje wanaochungulia dirishani kuwa naweza kuja kukojoa kaunta na usinifanye chochote!!!"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1479748783695.jpg
 
Mtoto mmoja alikuwa amekaa na baba yake akamwona demu wake anakuja, bahati mbaya baba yake alikuwa mkali na hapendi mwanae awe na mpenzi. Basi yule mwanamke alipofika wakaanza kuongea English.
MTOTO: umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english my father doesn't know!
DEMU: Yeah na kile cha where should i wait u?
MTOTO: Dah! Hicho hakipo labda kile cha Wait me under the coconut tree!
DEMU;Sawa usisahau kile cha I give u 5 minutes.
BABA: usisahau na kitabu cha I understand everything kipo juu ya kabati [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika chumba cha mtihani dent mmoja alionekana akitoka kwenye meza na kukaa sakafuni,
Msimamizi wa mtihani akamuuliza dent huyo kwanini umeamua kukaa chini?
Yule dent akajibu nimeamua kwasababu kuna swali katika paper hili linasema "solve this question without using table" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
BEATRICE: shosti, mume wangu ananisaliti.
GRACE: umejuaje?
BEATRICE: nampigia simu
namuuliza uko wapi, ananiambia yuko na Danny wakati Danny mwenyewe niko nae guest?? si unaona huyu mwanaume alivyokosa uaminifu? [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mkurya Mmoja aliskika akisema..
"Haya majitu yanashindwa kubikiri fisuri mawaso yao yote yapo kwenye kura Kiboro na Uchi".
Akimaanisha...
"Hawa watu hawawezi kufikiri vizuri mawazo yao yote yapo kwenye kula kiporo na uji [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mgonjwa alikuwa amelazwa hospital akisumbuliwa na presha, akiwa huko hospitali zikaja taarifa kuwa ameshinda milioni 100, kila mtu akaogopa kumpa taarifa kutokana na tatizo alilonalo, basi dokta mmoja akajikaza akaenda kumpa taarifa hizo kiakili, ikawa hivi:
DOKTA: hivi ukipata milioni 100 sasa hivi utazifanyia nini?
MGONJWA: nitakupa zote wewe dokta kama shukrani ya kunihudumia vizuri.
Dokta kusikia hivyo, akaanguka chini akafariki kwa presha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mgombea alienda katika kampeni za uchaguzi kwenye Kijiji cha SENGE mkoani Ruvuma (ni maarufu na wenyeji watathibitisha)
Salamu ikawa hivi:
"M/kiti na Katibu wa Senge.
Ndugu Wananchi wa Senge
Vijana,Wazee na Watoto wooote wa Senge..
...Mabibi na Mabwana wa
Senge..
Habari zenu.."
Watu kimyaa..
Akaendelea,"wa Senge Oyyeee!"
Wananchi,"mwenyewee..!" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kijiji cha senge mkoani ruvuma.
pitia comments hapa ucheke zaidi[emoji115] [emoji125]
 
Mke alimpa mume redio aende nayo chooni ili asiboreke sababu huwa anatumia muda mrefu.
Alipotoka;
MKE: Vp, ulienjoy!?
MUME: Wajinga! Waliweka wimbo wa Taifa, nimejisaidia nimesimama..!!
[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya majambazi wawili kuiba pesa nyingi sana benki.
JAMBAZI 1: Aisee mzazi, tukae chini tuhesabu mkwanja tuliovuna.
JAMBAZI 1: Ee bhana mimi
nimechoka siwezi kuzihesabu, tusubiri kesho kwenye vyombo vya habari, watataja tu kiasi gani cha pesa tumechukua [emoji12][emoji12][emoji13][emoji13]
 
Mjukuu kakuta bibi ana anika pichu akauliza, bibi hiyo nini? ili kuua soo bibi akamjibu "kitambaa changu najifutiaga mikono nikimaliza kunawa". Siku 3 baadaye bibi akaikosa pichu yake sehemu alipo ianika,
BIBI: "umekiona wapi kile kitambaa changu?"
MJUKUU: "kiko sebuleni nimewapelekea wageni wajifutie mikono baada ya kula. [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kijana wa KIUME
alimpeleka mchumba wake kumtambulisha kwao, alipofika tu baba yake akagundua dosari maana binti alikuwa mweusi tii, ana matege makali, na makengeza ya
maana!!!!duuh... mschana
kuona sura ya baba mkwe wake imebadilika ikabidi atabasamu kidogo
lahaula!!! alikuwa na mapengo hana meno yote ya mbele, baba akaamua amuite mwanae pemben ili wazungumze
BABA: mwanangu embu twende nje kidogo tuongee
MTOTO: baba sema tu hapahapa mchumba wangu ni kiziwi.
BABA: sasa kwa!!!
MTOTO: nimeiba sana wake za watu, sitaki kushare mapenzi naogopa na wa kwangu kuibiwa [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Wakati watu wanagombania kupanda mabasi kama kawaida yao, bibi mmoja alipanda akapata siti bila shida
KONDA: "bibi mbona unalia??"
BIBI: mjukuu wangu kwa miaka 25 niliyoishi mbagala sijawahi pata siti lakini leo nimepata
KONDA: nini?, nyanyuka hiyo siti ya dereva". [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Watoto wawili walikuwa
kichakani wakimpiga chabo mdada aliyekuwa akioga mtoni. Mara ghafla
mtoto mmoja akatoka nduki, na yule mwingine bila kupoteza muda akatoka mbio kuelekea
alikoenda mwenzie. Alipomfikia mwenzie huku akihema akamwuliza ni kwa nini alitoka mbio?
Mwenzie akasema; Mama alinikataza kuchungulia wanawake wanaooga vinginevyo nitageuka jiwe, kwa hiyo nilitoka mbio baada ya kuhisi cha kukojolea changu kinaanza kukakamaa kuwa kigumu, nikajua ndo naanza kubadilika kuwa
jiwe. [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Binti alienda kwa daktari huku analia kwa uchungu! Mazungumzo yao yalikuwa hivi:
DOKTA: Unalia nini?
BINTI: Nimemtukana boyfriend wangu kwa kumwambia yeye na mbwa mkubwa!
DOKTA: Heeee! Kwa nini?
BINTI: Alikuja na kunibusu!
DOKTA: Kama hivi? {Anambusu binti}
BINTI: Eeeh, hivyohivyo!
DOKTA:Halafu?
BINTI: Halafu akanishikashika matiti.
DOKTA: Kama hivi? {Anamshika}
BINTI: Eeh, hivyohivyo!
DOKTA: Eeh...
BINTI: Halafu akanivua nguo zote na kunipandisha kitandani, naye akavua!
DOKTA: Kama hivi?
BINTI: Eeh!
DOKTA: halafu...
BINTI: Tuka do mavituz!
DOKTA: Ka- -- aaaa-- ma hi-viiiiiiiiiiiiiiiiii??
BINTI: Eeeehhh-arrrrsghhh!!
DOKTA: Halafu?
BINTI: Halafu huyo mvulana akaniambia ameathirika
na UKIMWI,na kunionesha vyeti!!!!
DOKTA: Aaaaaaaaaahhhh, wewe binti ni mbwa,shetani na mwanaharamu mkubwa!!!!!!!!! [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23]
 
PASTA mmoja alikuwa akihubiri kanisani akisema ''Fanyeni mema, ili mkaingie uzima wa milele, huko paradiso kuna mito ya maji, asali na kila starehe'
MLEVI: mara sauti ya mlevi ikasikika akikatiza nje ya kanisa. ''wape wape hao, wabongo bila kuwadanganya hawatoi sadaka, mimi huko paradiso sitaki mana kama kuna asali basi kuna nyuki wa kumwaga''.
huko ndani ya kanisa waumini hoi kwa kicheko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
(Sista Benadeta akimsimulia sista Marieta yaliyomsibu alikotoka).>>>
SISTA BENADETA: Basi bwana, nikawa nikiongeza mwendo na yeye anaongeza, kila kona ninayokata na yeye yumo, nikajua ana malengo mabaya na mimi a.k.a anataka kunibaka>>>> SISTA MARIETA: Ukachukua uamuzi gani dadangu?
SISTA BENADETA: Si ndo nikaanza kutimua mbio, lakini kwa sababu yeye ni mwanaume akawa anazidi kunikaribia kwa kasi, nikaamua kumkomoa, nikapandisha gauni juu kabisa na yeye akashusha suruali na boxer yake chini magotini.>>> SISTA MARIETA: Hapo ndo patamu, enhe nambie kilichofuata?
SISTA BENADETA: Si unajua tena, mwanaume aliyeshusha suruali na boxer hadi magotini hawezi kukimbia sawa na mwanamke aliyeinua gauni juu, kwa hiyo nilimshinda mbio na ndo maana nimefika salama hapa.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jamaa alkuwa ndani ya daladala, tumbo likaanza kumsumbua sababu ya gesi.
Jamaa akaona bora ajambe kwa kufuata biti la mziki. Jamaa kweli kajamba kufuata biti na tumbo likatulia.
Alipokuwa akishuka
akashangaa kuona wa2 wanamshangaa kichizi, jamaa ndio akakumbuka kuwa ameva headphones :
mziki alikuwa akisikia mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marafiki Wabishi walikutana,
MBISHI 1. Siku moja nilikuwa out mke wangu nikampigia simu akapokea hakusema Haloo na mie nikauchuna hadi credit zikaisha.
MBISHI 2: aah chamtoto tu hiyo, Mimi kuna day nilirudi home usiku nikagonga mlango, mke wangu akanifungulia lakini hakusema karibu mume wangu nikasimama nje hadi asubuhi kisha huyoo nikaelekea job.
MBISHI 3: mimi mke wangu tulipooana alikua anaona haya kunigusa na mimi sikumgusa na mpaka leo hatugusani.
Wa 1 na 2 wakadakia "aaaah acha usanii father nyinyi si mna watoto wawili lakini?
Akawajibu: na hao watoto mpaka leo mimi sijamuuliza kawaokotea wapi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alikuwa anachat kwa text na mpenzi wake huku mtandao unasumbua,
BINTI: Hi Babes
JAMAA: Hi luv (msg sending failed)
BINTI: Vipi upo?
JAMAA: Ndio nipo sweety (msg sending failed)
BINTI: Mbona hunijibu? Uko na mtu?
JAMAA: Mbona nakujibu sweet (msg sending failed)
BINTI: Mi naona unadharau sana. Mi nimechoka staki tena
JAMAA: Malaya mkubwa kwenda zako (Msg sent) [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ha ha ha lazmautoemacho
 
Back
Top Bottom