supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Mlevi kaingia bar na kumwambia meneja.... "Ebwana daaaah...
Unajua mi ninashabaha ile
mbaya... Naweza kujaza mkojo kwenye ileeee chupa ya juu kabisa counter bila hata kudondosha hata tone..."
Meneja akabisha na kupinga kabisaaaa, mshikaji akamwambia. "Basi tufanye hivi. Nakupa laki moja nikidondosha hata tonye pembeni, na nikishindwa we nipe bia 3 tu..."
Meneja akaona isiwe tabu, kucheki huku na kule akaona baa watu wako busy busy akakubali... Bila taabu, jamaa akasogea kaunta.... Akaanza kukojoa lakini hakufikisha hata punje kwenye chupa.... Meneja akadai chake, mshikaji akatoka nje na kurudi na kama milioni moja mkononi huku akitabasamu, akampatia meneja pesa yake.
MENEJA: (akauliza kwa mshangao) "Hiyo mihela umeokota wapi na mbona unatoa kirahisi hivyo huku ukitabasamu?!"
MLEVI: nimeweka dau la laki moja moja na watu kama kumi na wale jamaa paleee nje wanaochungulia dirishani kuwa naweza kuja kukojoa kaunta na usinifanye chochote!!!"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]