supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Duh!![emoji23] [emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23] [emoji38] Uwwiiii,Mkuu taratibu aiseee maana mbavu zishapishana[emoji31]Ushawahi kuwa na mpenzi muongo mpaka akikwambia GOOD NIGHT unatoka nje kuhakikisha kama ni usiku kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefika hapa Polisi Station Minanzini nimefarijika sana baada ya kumkuta askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani alimuua Goliathi? Akasema Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo anahusika na Kesi za mauaji.[emoji23][emoji23]
Jamaa mmoja alikua anacheka sana watu wakamuuliza kwann unacheka hivo[emoji780]
rafikii yangu kaniibia namba ya demu wangu kwenye simu yangu
watu wakamuuliza sasa ndo maana anacheka akasema nacheka kwa sababu anamtongoza na kumtumia masage za mapenz dada yake nwenyewe
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
KUNA WADADA WANAJIONA WAZURII YANI HATA MOTONI WATATAKA WACHOMWE NA MICROWAVE[emoji2][emoji2]
Nyie madem mtuoneage huruma jamani. Sasa unamuomba mtu hela ya salun laki tatu. Hata operation ya kichwa haifiki hiyo hela[emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23].......ila mkuu mtu kuwa na hamu ya dushe siyo matusi buana hiyo ni kawaida hasa ikikaribia zile siku za ovulation![emoji1]we tukana tu ruksa ila ban itahusika
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushawahi kuwa na mpenzi muongo mpaka akikwambia GOOD NIGHT unatoka nje kuhakikisha kama ni usiku kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]