Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????

Mtoto: eti baba wewe ulizaliwa wap
Baba: dodoma
Mtoto: mama alizaliwa wap
Baba: singida
Mtoto: na mimi
Baba : ulizaliwa mbeya
Mtoto: sasa baba tumekutanaje?
Ukiwa kama baba ambaye sio mtu wa mchezo mchezo unamjibu vipi mtoto?[emoji23][emoji23]
 
KULALA usiku kucha na binti wa watu ambaye hujamuoa siyo tatizo,tatizo ni dada yako akilala na watu wengine usiku kucha povu linakutoka,mikwara kibao[emoji15][emoji15]
 
Jinsi ya kuwa na Mpenzi bora
1 lazima na ww uwe bora kwanza
2 lazima ujiheshimu ww kwanza
3 kama unataka mwenye gari hakikisha na ww unalo
4 ukitaka msomi na ww uneishia la 7 au fom 4 jua unajidanganya tafuta level yako
5 ukishindwa kabisa njoo kwangu
 
Nikulambe vibao akili ifunguke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi siezi kuja kwako na kiatu cha sh100000/=
alafu uniambie niache viatu nje na uko na carpet ya sh 50000=
Wewe toa carpet nje mimi niingie na viatu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ni nani aliyeanzisha hiki kimsemo 'sipendagi ujinga' maana sasa hivi imekua kama kamchezo mtu anatuma sms chini anaandika sipendagi ujinga.. sasa nasema hivi 'atakaye andika sms halaf akaandika hapendi ujinga sms yake sitaisoma'. maana sipendagi ujinga mimi[emoji23][emoji23]
 
Nilitoka asubuhi nikarudi jioni baba mwenye nyumba kafunga mlango wa chumba changu na kufuli jipya kosa eti kodi nikafungua kufuli langu nikafunga kwake kisha nikaondoka maana Mimi mazoea hua sipendi mara anapiga simu eti njoo tuyajenge[emoji1][emoji1]
 
Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuu.....
Interviewer: where were u born?
Guy: Tanzania
Interviewer: okay which part?
Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
 
BAADHI YA RAFIKI ZAKO WAMESHAOLEWA
WE UNAENDELEA KUSEMA ALL MEN are PLAYERS.
KAMA NI PLAYERS SUBIRI UOLEWE NA REFA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msigombanie kila mtu atapata vocha leo natoa ofa
Zantel 50,000
▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒
Vodacom 50,000
▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒
Tigo 50,000
▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒
Airtel 50,000
▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒
Tafadhali tumia kifaa chenye ncha kali kukwangua kwenye simu yako nawe utapata hizo namba utaweka kwenye simu.
Usisite kunishukuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani mpo? Kuna upelelezi unaendelea kwenye mitandao Kuweni makini, Nimeona defender mbili zimepita Instagram na Twitter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimejisikia furaha sana leo nimewasha Redio nkasikia Mtangazaji wa KIKE ananambia "MPENZI MSIKILIZAJI NAKUPENDA SANA ENDELEA KUWA NA MIMI KTK KIPINDI CHANGU"!!
Nimefurahi sana ila bado cjampa jibu kama na mimi nampenda au la!![emoji13][emoji13][emoji13]
 
Naingia kwa daladala kondaa kikauzu ananidai nauli nampa elfu kumi, ananiangaliiiiaaaaa
ananiuliza huna pesa nyingine boss??
Mimi huyooooooo kwa mfuko nachomoa tena elfu kumi nyingine...
Sipendagi ujinga mwanzo wa mwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yesu alilisha wanawake 5000 wakashiba na kusaza, baada ya kugeuza samaki wawili na mikate mitano kuwa msosi wa nguvu, na alikufa akiwa bikra. Wewe kulisha mtu chips kuku tu unataka mzigo[emoji12][emoji12]
 
wanaume baada ya kuoga na kujipaka mafuta
ULAYA MWANAMKE HUMWAMBIA MUMEWE:
Umependeza hubby.
INDIA: Unanukia vizuri baby.
BONGO: Unaenda wapi[emoji15]
Nyie wanawake wa Bongo Mungu anawaona
lakini
 
Mapenzi ya kibongo kama umeme wa tanesco mudada wowote unakata inabidi uwe na kijenereta kidogo dogo yaaani ile UKIFANYA BWIIIIIIIIIII WEWE UNAFANYA MMMHWAAAAAAAAA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasema mtoto kama hajawahi kula kwa jirani hawezi kuamini kama Kuna mama yeyote anae weza kumzidi mapishi mama yake.
Sijui nichepukeee?[emoji12]
 
Back
Top Bottom