Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kwenye keyboard kila ukianza aya mpya automatically itaanza na herufi kubwa, ndicho kilichotokea kwenye post yangu.Kuna tofauti kati ya Mungu na mungu. Mungu ni muumba wetu. Ila mungu ni kitu cha kuabudiwa na watu furani. God and gods
Inawezekana niliyemtaja siye unayemmaanisha wewe.