PWITULE KIPWIGILI
New Member
- Aug 28, 2016
- 2
- 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakua alimchoka hadi kero [emoji12] [emoji12]Kulikuwa Na Mazishi Mwanamke Alifariki.
Wakati Wabebaji Wanalitoa Jeneza Nje Kutokea Ndani Wakaligongesha Ukutani,
Mara Wakasikia Sauti Ndani Walipofungua Wakakuta Yule Mwanamke Yuko Hai.
Yule Mwanamke Akaishi Miaka 5 Na Akafa Tena,
Siku Ya Mazishi Wakati Wanatoa Jeneza Nje Mume Wake Akafoka Kwa Sauti "Jamani Taratibu Msije Mkaligongesha Tena." [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
senkyu tichaasante kwa kufungua uzi huu umezawadiwa
HASIRA za ghafla!!!!!!!.