When a man is comfortable being broke

When a man is comfortable being broke

meghan markle

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Posts
489
Reaction score
1,192
Women don't have have a problem with a broke man,they have a problem with a man who's comfortable being broke......Kwa lugha nyingine mwanamke anathamini na kuheshimu 5000 ya mpambanaji kuliko mwanaume hana kitu af kakaa home anagombania remote na watoto....yani hata awe handsome kiasi gani anaonekana ng'ombe tu!!!
Screenshot_2019-08-03-21-20-57-1.jpeg
 
Meghan i dont know if this is true or false. But from my experience. Woman dont care hiyo pesa unaipataje.. what they do care ni kwamba inakupa uwezo wa kumtunza.
Women don't have have a problem with a broke man,they have a problem with a man who's comfortable being broke......Kwa lugha nyingine mwanamke anathamini na kuheshimu 5000 ya mpambanaji kuliko mwanaume hana kitu af kakaa home anagombania remote na watoto....yani hata awe handsome kiasi gani anaonekana ng'ombe tu!!!View attachment 1171632
 
Meghan i dont know if this is true or false. But from my experience. Woman dont care hiyo pesa unaipataje.. what they do care ni kwamba inakupa uwezo wa kumtunza.
@Detective J that could be true or not....Mwanamke ambae yupo kimaslahi hatajali unapataje hela as long as unamtunza na kumuweka mjini.Mwanamke anaekupenda kiukweli atajitahidi ajue unavyoipata akushauri ,akutie moyo na kikubwa akuombee.
Wako ni yupi kati ya hao??
 
You have a point meghan. Nimependa approach yako. But in one condition kama realy anakupenda. Otherwise atakuwa spender tu
@Detective J that could be true or not....Mwanamke ambae yupo kimaslahi hatajali unapataje hela as long as unamtunza na kumuweka mjini.Mwanamke anaekupenda kiukweli atajitahidi ajue unavyoipata akushauri ,akutie moyo na kikubwa akuombee.
Wako ni yupi kati ya hao??
 
Kwakweli..
Mwanaume hana idea endelevu ni mtihani
Kuna kundi lingine wao wanaishi kwa mazoea ,yeye anatafuta pesa akipata analewea/bata la nguvu yani yeye hayo ndio maisha aliyoyachagua.[emoji879]

Wengine wana tafuta maisha wana nafasi zao lakini hela wanaionea ubahili hata sikumoja moja mkala chakula cha maana nyumbani hakuna.[emoji879]

Wengine wao much know..kila kitu anakitolea mfafanuo kama mwanasayansi au motivation speaker.. ukisema leo nisuke nywele hata mara 1 kwa mwaka anakwambia """ndo mana sikuoi unafikra za wadada wa mjini, mi nilijua tu wewe kuna vitabia umevificha"""[emoji879]
 
It can hardly be possible for a man to sit comfortably when he is broke. Wakati mwingine baada ya mitego na mirija yote ya hela kukwama na grafu ya kipato kuanza kuelekea chini, humlazimu mwanaume kutulia na kutafakari njia anazopitia katika utafutaji wake. Utulivu wake hulenga kuweka mikakati mipya pasipo kumshirikisha mke (hasa wale wake ambao hukwaza kwa dhihaka katika suala ambalo mume alitarajia kupewa moyo na mawazo mbadala ya utafutaji wanaposhirikishwa). Ukimya wa mume huweza kutafsiriwa na mkewe kuwa yupo comfortable... Hakuna mwanaume anaweza kuwa comfortable wakati anajua ada ya watoto, kodi na bills mbalimbali zinahitajika.

Lakini kubwa kuliko ni kuwa ni wakati huohuo mwanaume anapokuwa broke anaweza kuimarika katika mahusiano kwa mkewe iwapo atakuwa mfariji na mwenye kuibua fikra za kujikwamua; wakati upande wa pili anaweza kupoteza hisia kabisa kwa mke mbwatukakaji na mwenye dharau kwake kiasi ambacho hata maisha yakirejea katika ubora wake, thamani ya mke huyo haiwezi kuwapo tena kamwe akilini mwa mwanaume.
 
Wapo wengi tu
Pesa ni nguvu za kiume kwa mwanaume. Kila mwanaume ana mbinu zake katika utafutaji wa hela. Unafikiri mtu aliyekuwa manager wa kampuni fulani, achishwe kazi, atafute kazi kwenye makampuni akose kazi aende akabebe zege? Ndiyo una maanisha hivyo?
Ukiona mwanaume karidhika kuwa broke achana naye. Maisha ni rahisi sana.
 
Inategemea ulianzia wapi, kama ndio mmeanzia chini, hapo sawa.
Ila ukifirisika/ukifulia hata kama unapambana au haupambani, heshima lazima ishuke.
 
Back
Top Bottom