Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
naipenda hii thread kwakuwa itaniambia nani ni PM as potential husband na nani nimpotezee......:laugh::laugh:
Try it guys!
Nani amewahi kuguswa na penzi la kweli la mwanamke? Hebu jitokeze useme tukupatie zawadi yako maana mijadala mingi imezidi kuponda mahusiano.Unachotakiwa kufanya ni kutuambia kwa kifupi sana yafuatayo:
1. Aina ya uhusiano ( ndoa, uchumba)
2. Unajuaje au ulijuaje ni penzi la kweli?
3. Na wewe kwa kutambua hilo umemfanyia nini kama alama ya shukrani na upendo wako kwake ili penzi lizidi kustawi?
Ukweli utabaki kwamba hakuna hisia nyingine yeyote tamu aliyotunukiwa mwanadamu inayoshinda hisia ya kupendwa. Tuachane kidogo na yale mahusiano yenye utata ya kupendwa kwa sababu ya mali au kitu tulenge katika yale mahusiano ya penzi la kweli.
Kwa kuonyesha mfano... nawatunuku akina kaka wote walio kwenye mahusiano matamu au waliowahi kuguswa na penzi la kweli la mwanamke wimbo wa R. Kelly - "When A Woman Loves....."
When a woman loves
She, she loves for real
When a woman loves
She, she, she loves for real
She took me back
After I broke her heart
About a thousand times
She gave her life to me
With no regrets, she followed me
And she, and she, the girl she raised me
And I'm forever indebted, I'm forever indebted, I'm forever indebted to her cause
When a woman loves
She, she, she loves for real
When a woman loves
She, she, she loves for real
She filled my soul
With the very touch of her hand
She really did
And she's got more, more faith in me than a beach got sand
And I like to tell ha, I like to tell ha, that I'm forever indebted,, that I'm forever indebted, forever indebted
Cause when a woman loves
She, she, she loves for real
Yea, yea
See a woman loves
It would never die young
Even when I'm dead and gone, I'm gonna love her from the sky
Cause she's given me something that no other woman has given me (Whooooo)
When I think about you girl it makes me think
When, when, when, when a woman
When a
Woman
Loves
She loves for real (oh)
When a woman loves, loves, loves
I'm tellin you when she loves
She, she loves for real
Yea, yea, yea
When she loves (When she loves) (6X)
She (When she loves) (3x)
She loves for real
ha ha ha huoni speed yake ya comments ndogo? watu washasoma alama za nyakati lol. Unafikiri kama ningekuwa sijaoa ninge comment?
I will be more than happy, That will be the best news ever but i don't think you can!
AW,
Hongera kwa kumudu kupandisha penzi hadi ndoa.
Pipo mbona hamtujibii maswali yetu mnaleta porojo zingine tu? Turudi kwenye mada tafazali.WHEN A WOMAN LOVES..... SHE LOVES FOR REAL.... haya tueleze ulivyopendwa kiukweli na lady wako wa ukweli!
ha ha ha huoni speed yake ya comments ndogo? watu washasoma alama za nyakati lol. Unafikiri kama ningekuwa sijaoa ninge comment?
Mi siwezi kusema saaaana coz am still SINGLE
Ngoja tusubili waje wazoefu na wenye wapenzi/wake tujifunze kutoka kwao . . . lol
Wakaka/Wababa/Wababu kazi kwenu.
Mie no comment
walivyojaa jf lakini cha kushangaza hapa hata watano hawafiki.
Sijui wanajipanga.
There was this lady,we loved each other and when we met she would look into my eyes and i could see the love they held for me and then she would smile and i would give everything up for how i felf at that moment unfortunately she died in an accident and i nearly died from the thought of loosing her and it took me along time to feel ok,she will always live in my heart.
walivyojaa jf lakini cha kushangaza hapa hata watano hawafiki.
Sijui wanajipanga.
There was this lady,we loved each other and when we met she would look into my eyes and i could see the love they held for me and then she would smile and i would give everything up for how i felf at that moment unfortunately she died in an accident and i nearly died from the thought of loosing her and it took me along time to feel ok,she will always live in my heart.
I've never been loved. I hope I can find my life partner here. Please pray for me, I'm dying of lonelyness.
Pole Uporoto,glad you are okay now......:coffee:
Thanks buddy,how have you been ? weekend njema.