When a woman loves........

When a woman loves........

so far so gud...
Pacha wangu Michelle..asante kwa kuongoza jahazi salama....
tuendelee
 
1. Mahusiano yanaanza na mapenzi usidanganywe eti wapenzi wanafunga ndoa kabla ya kujamiiana eti umkute na bikira hiyo haipo labda zamani siyo sasa inawezekana kabisa mwanaume kadata kwa sababu zifuatazo (1)kamkuta mwenza ni bikira,au kamfikisha top katika mapenzi,lugha nzuri,usafi wa mwili,unynyekevu,elimu n.k(2)vilevile inawezekana mahusiano yakavunjika ikiwa mwanamke anabana sana,vululuvululu chini,lugha chafu hajipendi n.k ndiyo maana mahusiano yanakuwepo hata kama mwenza ni kichaa,mkoma,sura mbaya nk mapenzi hayaangalii hayo ilimradi mwenza ameridhika na anachokipata kwako.hiki ni kitu cha kuchunga sana unapochagua mpenzi tafuta kile roho inapendaaaaaaa

2.Kwa kuangalia vigezo hivyo binafsi nilifikishwa pale nilipokuwa nahitaji top katika mavitus na nikaamua kuoa sikuangalia vigezo vingine kwani nilichohitaji maishani nimekipata yaani furaha ya ndoa,tayari nina kids 2 na furaha ya ndoa inaendelea na kamwe haitachujika:clap2:
 
IT WAS THIS SUNDAY MORNING..
THE AIR WAS COOL,THE SKY WAS BLUE....(to be continued)
 
1. Mahusiano yanaanza na mapenzi usidanganywe eti wapenzi wanafunga ndoa kabla ya kujamiiana eti umkute na bikira hiyo haipo labda zamani siyo sasa .............:

Kwa vile ndicho unaamini haimanishi kwamba ndio ukweli wa jambo!
 
Fancy cars, credit cards do you remember THINGS WE DO FOR LOVE magic places in my mind hoping someday i would the perfect one that i could share........(to be continued)
 
the true love...mnayosema c.thani pata2nikutokua wt uwezo binafi/vipaji kama 2livyonavyo madume..
 
the true love...mnayosema c.thani hapa2nikutokua wt uwezo binafi/vipaji kama 2livyonavyo madume..
 
Back
Top Bottom