1. Mahusiano yanaanza na mapenzi usidanganywe eti wapenzi wanafunga ndoa kabla ya kujamiiana eti umkute na bikira hiyo haipo labda zamani siyo sasa inawezekana kabisa mwanaume kadata kwa sababu zifuatazo (1)kamkuta mwenza ni bikira,au kamfikisha top katika mapenzi,lugha nzuri,usafi wa mwili,unynyekevu,elimu n.k(2)vilevile inawezekana mahusiano yakavunjika ikiwa mwanamke anabana sana,vululuvululu chini,lugha chafu hajipendi n.k ndiyo maana mahusiano yanakuwepo hata kama mwenza ni kichaa,mkoma,sura mbaya nk mapenzi hayaangalii hayo ilimradi mwenza ameridhika na anachokipata kwako.hiki ni kitu cha kuchunga sana unapochagua mpenzi tafuta kile roho inapendaaaaaaa
2.Kwa kuangalia vigezo hivyo binafsi nilifikishwa pale nilipokuwa nahitaji top katika mavitus na nikaamua kuoa sikuangalia vigezo vingine kwani nilichohitaji maishani nimekipata yaani furaha ya ndoa,tayari nina kids 2 na furaha ya ndoa inaendelea na kamwe haitachujika:clap2: