When Birdman walked outta The breakfast club interview. Will the internet ever leave him alone?

Mara ya kwamza kumuona Stunner kamaind mbaya mpk upara unatoa jasho, Brrrrrrrrrrrrr
jamaa alikuwa kama anataka kulia vile alafu kakutana na kina chalamagne wameshajipindiaga long time wanamkazia mimacho tu.Anaulizwa aseme nini tatizo yeye anang'angana na respek tu.then bora angekuja kavaa kigangsta gangsta basi kama mafioso flan ivi na overcoat flani la kibabe sasa yeye kaja kavaa kama awilo longomba anaenda kwenye shoo
 
Uzi nimeusomaa sijaambulia kitu! ngoja dogo atoke nursery school aje anitafsirie!!
ishu sio tafsiri hapa.unaweza ukatafsiriwa na bado usielewe nini kilikuwa kinazungumziwa.ili kuelewa uzi huu kwanza uwe unafuatilia ma nyuz ya mastaa wa kwa obama na pia uwe mfuatiliaji wa memes (Meme inthusiast),kwa kuanzia download app ya ifunny na 9gag then utajifunza tartiibu burdani ya internet memes
 
That shit will go down in history,that shit is funny watching it again and again.Sema Charlamagne kuna siku atapigwa studio with those camera rolling halafu memes zote zigeukie kwake, kuna interview moja walifanya na Freddo star dahh ilikuwa balaa hiyo,it was heated up balaa,jamaa huwa hajui kama hata watu wengine wana emotions halaf unamuuliza maswali ya kiwack
 
Fredro just like almost all New York cats since the days of Notorious Big, are studio gangstas. Zaidi ya dirty talks kwenye mic, hawawezi kufanya chochote. Alichokifanya Fredro kwenye ile interview, ulikuwa ni ushamba tu, na alijishtukia akatulia badae.

You can shut Charlamagne up intellectually. Ice Cube did that. Ukienda emotional kama Kanye, jamaa anakuharibia siku.
 
jamaa alikuwa kama anataka kulia vile alafu kakutana na kina chalamagne wameshajipindiaga long time wanamkazia mimacho tu.Anaulizwa aseme nini tatizo yeye anang'angana na respek tu.then bora angekuja kavaa kigangsta gangsta basi kama mafioso flan ivi na overcoat flani la kibabe sasa yeye kaja kavaa kama awilo longomba anaenda kwenye shoo
Nimeelewa ni kwa nn movie za majambazi bongo wanajivisha makoti makubwa na lile joto. Kumbe mnadhan overcoats ni sign ya gangstar. Mayooo neeneee
 
sio sign ya gangstars lakini atleast yanaintimidate au atleast angevaa suti basi.we vile kumechisha tisheti nyeupe ya maua maua na pants nyeupe utamtisha nani.hata uje na goons 100
 
Lol[emoji54]
 
Is all abt business, chalamagne is a mastermind he does it for a reason..but somehow he boosted Birdman again in music industry and business ...
 
Thread za kishua hizi.

"If there was an isha you'd feel me."

"Put some respek on my name."

"Y'all finished or y'all done?"

Hahahahahah uwa sichoki kuangalia ile interview.
daa unajua nn judi we mtamu nakubali swaga zako.
yeah baby namkubali sana #put respek_on_my_name got no more time/question here.
 
Fredro just like almost all New York cats since the days of Notorious Big, are studio gangstas. Zaidi ya dirty talks kwenye mic, hawawezi kufanya chochote. Alichokifanya Fredro kwenye ile interview, ulikuwa ni ushamba tu, na alijishtukia akatulia badae.

You can shut Charlamagne up intellectually. Ice Cube did that. Ukienda emotional kama Kanye, jamaa anakuharibia siku.
yeah man Cube did it intellectually and my fav interview was the one they did with Dame.
 
jamaa alikuwa kama anataka kulia vile alafu kakutana na kina chalamagne wameshajipindiaga long time wanamkazia mimacho tu.Anaulizwa aseme nini tatizo yeye anang'angana na respek tu.then bora angekuja kavaa kigangsta gangsta basi kama mafioso flan ivi na overcoat flani la kibabe sasa yeye kaja kavaa kama awilo longomba anaenda kwenye shoo
Yule mtangazaji kiboko, haogopi, lakin inakuwaje mtu anaingia kwenye station na kumpa shits mtangazaji inamaana hawatapiga nyimbo zake tena? Kwani walimdisrespect vp stunner hao jamaa?
 
Inawezekana ikawa ilikuwa ni publicity stunt.think about it.imeongeza ratings za show na birdman nayo amepata kiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] stunner alipanik mbaya halafu jamaa anamchukulia simple tu
 
ama teli oloyo nigazi,puti Samu risipee on ma nemu....niga.

Doni faki withi Maa nemu niga.jasti gerara hiya...niga.
 
Back
Top Bottom