When Birdman walked outta The breakfast club interview. Will the internet ever leave him alone?

Hahahaha...

Kumbe kuna watu wengi hivi wameshangazwa na ile interview....kuna dogo mmoja natamani akutane face to face na Charlamagne

Btw kuna saa naingalia nawaza kama Charlamagne Birdman na team nzima wamepanga ile kitu ili kuirudisha cash money sokoni kidogo

Kama ile pia ni kick hapana ahsante!
 
Birdman alidhani kwa kufanya vile, ingempa street cred, kumbe ndio imemuharibia kabisa. Alikuwa na sababu za kuwa na hasira cuz Charlamagne kamchoresha sana, kwa muda mrefu, sema ile haikuwa namna ya kuihandle ile situation.
 
f5cba9fb1cb929d082cd75dd007c9ca6.jpg

Yeahh mitaa imemkataa sana
Kama umeona comment
za YouTube pia watu
wamecomment shit sana
Ila picha hii imeniacha hoi zaidi
 
f5cba9fb1cb929d082cd75dd007c9ca6.jpg

Yeahh mitaa imemkataa sana
Kama umeona comment
za YouTube pia watu
wamecomment shit sana
Ila picha hii imeniacha hoi zaidi

Mitaa lazima imkatae. Trick Daddy alimuita "girlfriend", mpaka the phoniest rapper alive aka Rick Ross alim-diss, na mshkaji kashindwa kuwafanya lolote.
 
Respekk my name jamaa alipanick mbayaaaaa....
Siyo kuwa mchizi alipanic neno respect bird hawezi litamka kutokana na meno yake ya mbele! Na maneno aliyoyatamka tayari imeshatoa tshart, kofia etc.. Zenye hayo maneno na anapiga hela! Hawa wenzetu kwenye wakisha ona fursa hawailazii damu!
 
Mimi niliona amepanik kwani alikua hatulii alikua ana act cool lakini wapi mara akunje mikono mara akae mara asimame, afanye kama anawacheki...kwa upande wa fursa wako vizuri kama una printer hata bongo unaweza fanya..ila nilikua sijui kama hawezi tamka hilo neno hahahahah
 
Kupanic ali panic mkuu
 
Alitamka maneno alivyotamka kutokana na grills, na kuwa nervous. Hizo tees na kofia ni za kum-mock more than anything else, yeye mwenyewe hapati hata senti wala hahusiki navyo. Usikariri boss.
 
Mimi niliona amepanik kwani alikua hatulii alikua ana act cool lakini wapi mara akunje mikono mara akae mara asimame, afanye kama anawacheki...kwa upande wa fursa wako vizuri kama una printer hata bongo unaweza fanya..ila nilikua sijui kama hawezi tamka hilo neno hahahahah

Alikuwa nervous hatari. In a way, ana-sound kama anataka kulia. Nadhani anajutia sasa kujichoresha namna ile.
 
Birdman alidhani kwa kufanya vile, ingempa street cred, kumbe ndio imemuharibia kabisa. Alikuwa na sababu za kuwa na hasira cuz Charlamagne kamchoresha sana, kwa muda mrefu, sema ile haikuwa namna ya kuihandle ile situation.
kwani ishu yake na wayne inaendeleaje. au bado wanazinguana?
 
Wakuu,birdman aliongea kwa nia njema tu.kwamba waache kumdharau.tatizo lake ni njia aliyoitumia kufikisha ujumbe wake.anaelewa ile radio station iko chini ya nani.pia anaelewa revolt iko chini ya p.diddy.angalia hata microphone wanazotumia zina chata ya revolt..those are kinda people that u would never try to https://jamii.app/JFUserGuide with..birdman hana uwezo wa kuwatishia wale watangazaji...naamini tayari keshaomba pooo
 
Birdman was too emotional at the time.lakini naamimi he knows irs wrong what he did
 
Wakuu,birdman aliongea kwa nia njema tu.kwamba waache kumdharau.tatizo lake ni njia aliyoitumia kufikisha ujumbe wake.anaelewa ile radio station iko chini ya nani.pia anaelewa revolt iko chini ya p.diddy.angalia hata microphone wanazotumia zina chata ya revolt..those are kinda people that u would never try to **** with..birdman hana uwezo wa kuwatishia wale watangazaji...naamini tayari keshaomba pooo

Diddy sio mmiliki wa the breakfast club.

Birdman alitakiwa kuonyesha mfano kwa Rick Ross. Angemnyoa ndevu zile kwa kucha, then kina Envy wangeacha kumzingua. Sasa kila mtu anamuona Birdman wa kuchukulia points.
 
Nimeambulia kumuona mtu anafanana na ndugai
 
Back
Top Bottom