jamaa alikuwa kama anataka kulia vile alafu kakutana na kina chalamagne wameshajipindiaga long time wanamkazia mimacho tu.Anaulizwa aseme nini tatizo yeye anang'angana na respek tu.then bora angekuja kavaa kigangsta gangsta basi kama mafioso flan ivi na overcoat flani la kibabe sasa yeye kaja kavaa kama awilo longomba anaenda kwenye shooMara ya kwamza kumuona Stunner kamaind mbaya mpk upara unatoa jasho, Brrrrrrrrrrrrr
ishu sio tafsiri hapa.unaweza ukatafsiriwa na bado usielewe nini kilikuwa kinazungumziwa.ili kuelewa uzi huu kwanza uwe unafuatilia ma nyuz ya mastaa wa kwa obama na pia uwe mfuatiliaji wa memes (Meme inthusiast),kwa kuanzia download app ya ifunny na 9gag then utajifunza tartiibu burdani ya internet memesUzi nimeusomaa sijaambulia kitu! ngoja dogo atoke nursery school aje anitafsirie!!
That shit will go down in history,that shit is funny watching it again and again.Sema Charlamagne kuna siku atapigwa studio with those camera rolling halafu memes zote zigeukie kwake, kuna interview moja walifanya na Freddo star dahh ilikuwa balaa hiyo,it was heated up balaa,jamaa huwa hajui kama hata watu wengine wana emotions halaf unamuuliza maswali ya kiwack
Nimeelewa ni kwa nn movie za majambazi bongo wanajivisha makoti makubwa na lile joto. Kumbe mnadhan overcoats ni sign ya gangstar. Mayooo neeneeejamaa alikuwa kama anataka kulia vile alafu kakutana na kina chalamagne wameshajipindiaga long time wanamkazia mimacho tu.Anaulizwa aseme nini tatizo yeye anang'angana na respek tu.then bora angekuja kavaa kigangsta gangsta basi kama mafioso flan ivi na overcoat flani la kibabe sasa yeye kaja kavaa kama awilo longomba anaenda kwenye shoo
sio sign ya gangstars lakini atleast yanaintimidate au atleast angevaa suti basi.we vile kumechisha tisheti nyeupe ya maua maua na pants nyeupe utamtisha nani.hata uje na goons 100Nimeelewa ni kwa nn movie za majambazi bongo wanajivisha makoti makubwa na lile joto. Kumbe mnadhan overcoats ni sign ya gangstar. Mayooo neeneee
Lol[emoji54]sio sign ya gangstars lakini atleast yanaintimidate au atleast angevaa suti basi.we vile kumechisha tisheti nyeupe ya maua maua na pants nyeupe utamtisha nani.hata uje na goons 100
when "SHE" do that.[emoji118] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]thats so fanny when she do that
daa unajua nn judi we mtamu nakubali swaga zako.Thread za kishua hizi.
"If there was an isha you'd feel me."
"Put some respek on my name."
"Y'all finished or y'all done?"
Hahahahahah uwa sichoki kuangalia ile interview.
yeah man Cube did it intellectually and my fav interview was the one they did with Dame.Fredro just like almost all New York cats since the days of Notorious Big, are studio gangstas. Zaidi ya dirty talks kwenye mic, hawawezi kufanya chochote. Alichokifanya Fredro kwenye ile interview, ulikuwa ni ushamba tu, na alijishtukia akatulia badae.
You can shut Charlamagne up intellectually. Ice Cube did that. Ukienda emotional kama Kanye, jamaa anakuharibia siku.
100 goons for tree of ya,put respek on itsio sign ya gangstars lakini atleast yanaintimidate au atleast angevaa suti basi.we vile kumechisha tisheti nyeupe ya maua maua na pants nyeupe utamtisha nani.hata uje na goons 100
Yule mtangazaji kiboko, haogopi, lakin inakuwaje mtu anaingia kwenye station na kumpa shits mtangazaji inamaana hawatapiga nyimbo zake tena? Kwani walimdisrespect vp stunner hao jamaa?jamaa alikuwa kama anataka kulia vile alafu kakutana na kina chalamagne wameshajipindiaga long time wanamkazia mimacho tu.Anaulizwa aseme nini tatizo yeye anang'angana na respek tu.then bora angekuja kavaa kigangsta gangsta basi kama mafioso flan ivi na overcoat flani la kibabe sasa yeye kaja kavaa kama awilo longomba anaenda kwenye shoo
Inawezekana ikawa ilikuwa ni publicity stunt.think about it.imeongeza ratings za show na birdman nayo amepata kikiYule mtangazaji kiboko, haogopi, lakin inakuwaje mtu anaingia kwenye station na kumpa shits mtangazaji inamaana hawatapiga nyimbo zake tena? Kwani walimdisrespect vp stunner hao jamaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] stunner alipanik mbaya halafu jamaa anamchukulia simple tuInawezekana ikawa ilikuwa ni publicity stunt.think about it.imeongeza ratings za show na birdman nayo amepata kiki