Hahahaha...
Kumbe kuna watu wengi hivi wameshangazwa na ile interview....kuna dogo mmoja natamani akutane face to face na Charlamagne
Btw kuna saa naingalia nawaza kama Charlamagne Birdman na team nzima wamepanga ile kitu ili kuirudisha cash money sokoni kidogo
Kama ile pia ni kick hapana ahsante!
Birdman alidhani kwa kufanya vile, ingempa street cred, kumbe ndio imemuharibia kabisa. Alikuwa na sababu za kuwa na hasira cuz Charlamagne kamchoresha sana, kwa muda mrefu, sema ile haikuwa namna ya kuihandle ile situation.
Yeahh mitaa imemkataa sana
Kama umeona comment
za YouTube pia watu
wamecomment shit sana
Ila picha hii imeniacha hoi zaidi
Siyo kuwa mchizi alipanic neno respect bird hawezi litamka kutokana na meno yake ya mbele! Na maneno aliyoyatamka tayari imeshatoa tshart, kofia etc.. Zenye hayo maneno na anapiga hela! Hawa wenzetu kwenye wakisha ona fursa hawailazii damu!Respekk my name jamaa alipanick mbayaaaaa....
Nimetoka Kapa....
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uzi nimeusomaa sijaambulia kitu! ngoja dogo atoke nursery school aje anitafsirie!!
Mimi niliona amepanik kwani alikua hatulii alikua ana act cool lakini wapi mara akunje mikono mara akae mara asimame, afanye kama anawacheki...kwa upande wa fursa wako vizuri kama una printer hata bongo unaweza fanya..ila nilikua sijui kama hawezi tamka hilo neno hahahahahSiyo kuwa mchizi alipanic neno respect bird hawezi litamka kutokana na meno yake ya mbele! Na maneno aliyoyatamka tayari imeshatoa tshart, kofia etc.. Zenye hayo maneno na anapiga hela! Hawa wenzetu kwenye wakisha ona fursa hawailazii damu!
Kupanic ali panic mkuuSiyo kuwa mchizi alipanic neno respect bird hawezi litamka kutokana na meno yake ya mbele! Na maneno aliyoyatamka tayari imeshatoa tshart, kofia etc.. Zenye hayo maneno na anapiga hela! Hawa wenzetu kwenye wakisha ona fursa hawailazii damu!
Siyo kuwa mchizi alipanic neno respect bird hawezi litamka kutokana na meno yake ya mbele! Na maneno aliyoyatamka tayari imeshatoa tshart, kofia etc.. Zenye hayo maneno na anapiga hela! Hawa wenzetu kwenye wakisha ona fursa hawailazii damu!
Mimi niliona amepanik kwani alikua hatulii alikua ana act cool lakini wapi mara akunje mikono mara akae mara asimame, afanye kama anawacheki...kwa upande wa fursa wako vizuri kama una printer hata bongo unaweza fanya..ila nilikua sijui kama hawezi tamka hilo neno hahahahah
kwani ishu yake na wayne inaendeleaje. au bado wanazinguana?Birdman alidhani kwa kufanya vile, ingempa street cred, kumbe ndio imemuharibia kabisa. Alikuwa na sababu za kuwa na hasira cuz Charlamagne kamchoresha sana, kwa muda mrefu, sema ile haikuwa namna ya kuihandle ile situation.
kwani ishu yake na wayne inaendeleaje. au bado wanazinguana?
Wakuu,birdman aliongea kwa nia njema tu.kwamba waache kumdharau.tatizo lake ni njia aliyoitumia kufikisha ujumbe wake.anaelewa ile radio station iko chini ya nani.pia anaelewa revolt iko chini ya p.diddy.angalia hata microphone wanazotumia zina chata ya revolt..those are kinda people that u would never try to **** with..birdman hana uwezo wa kuwatishia wale watangazaji...naamini tayari keshaomba pooo
i never though but life change direction ila jamaaa kamtoa wayne bana. wayne lazma aheshim kabisaNi battle ya wanasheria tu sasa. Hawajayamaliza.
I'm cool with birdman. Y'all nigga need to respek our Label.kwani ishu yake na wayne inaendeleaje. au bado wanazinguana?
thanks you weezy for answering me.I'm cool with birdman. Y'all nigga need to respek our Label.