When is this going to stop in Africa?

Which language is this?

I'm also like, what...?
Tell us, again, how this language (queen's language) improved your ranking in the list of Kenya's police to be most cruel police force in the continent.
 
The fact that Kenya is #103 and Tanzania #124 does it mean that Kenya has freedom of speech?, the question is
1)Is there freedom of speech in Kenya?

Not

2) Between TZ and Kenya which is better?

The fact that both Kenya and Tanzania score below average then there are no freedom of speech in both countries[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matatizo ya hawa hata sio ya kawaida, wapo wapo tu siku ziende....wanarogana hata kwenye viapo vya mawaziri, jamaa anashindwa kusoma kiapo anaganda kabisa.
 
Mbona Mbowe hakimbii

2. Sugu
3. Msigwa
4. Wenje
5. Prof. J
6..... orodha ni ndefu tu. Lkn uongo utajitenga, maana wenyeji wake watakuja kuuliza na kuchunguza kama kweli alikotoka kuna hatari kiasi hicho.
 
Na yaliyotendeka Zanzibari je? At least huku tunaweka wazi yanaonekana. Huko kwenu hata wanaojaribu kuyaweka wazi wanamalizwa. Ndio maana the only story you could get ni ya Jacob Juma ambayo ilitendeka mwaka wa 2016.
Ulijuaje kama Zanzibar yalitendeka kama hayajawekwa wazi?, HRW wamewezaje kuiweka Tanzania #124 duniani kama taarifa zinafichwa?.

Ukweli ni kwamba Kenya inaongoza Africa katika mauaji ya Kinyama dhidi ya raia wake, huo ndio ushahidi uliopo, hayo mengine mnajaribu kulazimisha ili kutaka kulingana na Tanzania.
 
I'm also like, what...?
Tell us, again, how this language (queen's language) improved your ranking in the list of Kenya's police to be most cruel police force in the continent.
Speak things that people can understand. Use a language you can express yourself well in.
 
I can score 90% and you 40% yet I be just a position above you. Thing is, we are doing way better than you and even your own politicians say that. You need to do something, stop living in a North Korea.
 
Didn't I tell you only foreign media have the courage to risk and report things from Tanzania ama kichwa yako haina akili? See, the stories you posted about Kenya are from Kenyan media, yours are from foreign media. Kama foreign media inaweza pata news kama hizi kwenu imagine mungekuwa na courage na freedom ya kureport wenyewe tungekuwa tunasikia nini kutoka huko kwenu?

 
Speak things that people can understand. Use a language you can express yourself well in.

If you can't decipher what I put in here, then that is not my problem. I think it's clear with you Mr bricks and mortar engineer.
 
If you can't decipher what I put in here, then that is not my problem. I think it's clear with you Mr bricks and mortar engineer.
Mtu alikufunza hilo neno decipher nunulia yeye ng'ombe. It seems to be the only vocabulary you know in English. Unalitumia hata pasipo.
 
Wewe ni kichaa, kwasababu hiyo taarifa umeitoa katika foreign medium haina maana kwamba media za hapa nchini hazijaripoti, ona hii
Hii imeripotiwa na media za nje, je hiyo ni kuthibitisha kwamba Kenyan media are not free?
 
Sijasema Kenya hamna media ya nje, la. Kila nchi ina media ya nje, wee una wazimu.....nini. La muhimu ni kuwa, ukigoogle news about Kenya, utapata habari nyingi tu za media ya Kenya na pia utapata ya media ya nje ya Kenya ilhali Tanzania ukigoogle habari yenye utata kama mauaji au njaa au kukosa maendeleo, unapata yote ni media ya nje. Ndio maana kila negative news unayoshare humu kuhusu Kenya 90% ni ya media ya Kenya. Hutapata media ya Kitanzania ikiripoti habari kama hizo kamwe maanaje munazikandamiza. Halafu bado hizo hizo media za nje munazikandandamiza pia ila ma journalist wa nje hawana uoga kama hao wenu, wao hujikakamua kiasi yake na kurepoti. Ndiposa ninasema mungeacha media iwe huru watu wangejua kumbe hamna nchi hapo. Balaa tupu maanake habari zingetokea huko za kutisha tisha.
 
I can score 90% and you 40% yet I be just a position above you. Thing is, we are doing way better than you and even your own politicians say that. You need to do something, stop living in a North Korea.
My question is not to compare these two counries, just to know if Kenya there is freedom of expression by international standard, then we can go down and compare between the two?.

Freedom of expression has its own standard, is not related to any other country. Tanzania is very peaceful and stable country not because Kenya is one among dangerous countries[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
If you want to open a thread on peace then you are free to do so, otherwise stop derailing this thread with your peace shenanigans. This is a thread on freedom of speech. When Kenya had a dictator in the name of Moi, we were ranked as a very peaceful country - Tanzania is where Kenya was in the 90s.
 
Mtu alikufunza hilo neno decipher nunulia yeye ng'ombe. It seems to be the only vocabulary you know in English. Unalitumia hata pasipo.

Safi sana bricks n mortar engineer.
nunulia yeye ng'ombe. Nitakupa kasi ya kutengenesa BoQ ya kujenga sisi ya ngombe sangu.
πŸ˜› πŸ˜‚ 😝 😜
 
Wewe unaokusumbua ni wivu zaidi kuliko kitu kingine, google mambo yote mazuri kuhusu Tanzania kama hutokuta media za nje ndio zinaripoti zaidi kuliko za ndani.

Jaribu kugoogle kuhusu serengeti, Kilimanjaro, hata haya maendeleo yanayofanywa na Magufuli, utakuta media za nje ndio zinazoripoti zaidi, mbona husemi kwamba media za Tanzania zinakatazwa hata kuandika mambo mazuri?.

Ukweli ni kwamba Kenya media haziko free ndio sababu Kenya ipo namba 103 duniani, hiyo ni nafasi mbaya by any standard.
 
Ni akili huna ama ni kutumia hutumii? Nimesema negative news, hivi Serengeti na Kilimanjaro ni negative news? Nimeongelea news zinazo mulika serikali kwa maovu inayotenda. Mea akili buda.
 
Kenya had never be a peaceful country since its independence, during Kenyatta and Moi era, political assassinations were at its peak, Kenyans were killed like flies[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi sana bricks n mortar engineer.
nunulia yeye ng'ombe. Nitakupa kasi ya kutengenesa BoQ ya kujenga sisi ya ngombe sangu.
πŸ˜› πŸ˜‚ 😝 😜
At least leo umeongea kwa lugha unayoelewa. Endelea hivo na uachane na kuongea broken English hapa hivi alafu unatupa decipher mahali ndio uonekane unaielewa lugha.
 
Ni akili huna ama ni kutumia hutumii? Nimesema negative news, hivi Serengeti na Kilimanjaro ni negative news? Nimeongelea news zinazo mulika serikali kwa maovu inayotenda. Mea akili buda.
Wewe ni kichaa, au shule yako inafundisha tribalism only instead of critical thinking. Ninachojaribu kukuelewa ni kwamba media za Tanzania zinaandika negative news at the same magnitude as the positive news, try to google even posititive news, you will realize that, not much from local media, most are foreign media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…