Sijasema Kenya hamna media ya nje, la. Kila nchi ina media ya nje, wee una wazimu.....nini. La muhimu ni kuwa, ukigoogle news about Kenya, utapata habari nyingi tu za media ya Kenya na pia utapata ya media ya nje ya Kenya ilhali Tanzania ukigoogle habari yenye utata kama mauaji au njaa au kukosa maendeleo, unapata yote ni media ya nje. Ndio maana kila negative news unayoshare humu kuhusu Kenya 90% ni ya media ya Kenya. Hutapata media ya Kitanzania ikiripoti habari kama hizo kamwe maanaje munazikandamiza. Halafu bado hizo hizo media za nje munazikandandamiza pia ila ma journalist wa nje hawana uoga kama hao wenu, wao hujikakamua kiasi yake na kurepoti. Ndiposa ninasema mungeacha media iwe huru watu wangejua kumbe hamna nchi hapo. Balaa tupu maanake habari zingetokea huko za kutisha tisha.